Wazee wetu Wenye hekima waingilie Kati kusafisha upepo wa Lissu

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Taifa letu limejaliwa hazina kubwa. Huu upepo wa Lissu kwa majibu mwepesi yanayotolewa kwa hoja nzito ,hayana tija kwa afya ya umoja ,ustawi na taswira ya taifa letu.
Baba wa taifa aliwahi kushauri taifa mara nyingi na kuandika vitani pia mfano , "Tujisahihishe"
Tunajenga nchi moja ,tujivunie taifa letu. Tusisubi wasuluhishi wa nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa lolote lisilo na umoja ni rahisi kusambaratishwa.Umejifunza nn Hakuna ccm Asili hata mzima kainuka kujibu kuhusu TL zaidi ya ccm makinikia, hapa somo hawana umoja au asilia wameamua wacha afe na kamba shingoni ili kwao kuwe faida.Hakuna maisha magumu duniani Kama kuzalisha maadui kila kona ndani na nje.Wakati utaongea
 
Taifa letu limejaliwa hazina kubwa. Huu upepo wa Lissu kwa majibu mwepesi yanayotolewa kwa hoja nzito ,hayana tija kwa afya ya umoja ,ustawi na taswira ya taifa letu.
Baba wa taifa aliwahi kushauri taifa mara nyingi na kuandika vitani pia mfano , "Tujisahihishe"
Tunajenga nchi moja ,tujivunie taifa letu. Tusisubi wasuluhishi wa nje.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walivyo chelewa kuwapata watu wasiojulikana ndivyo watakavyo chelewa kujisafisha
 
Litapita tu kama upepo.Maisha yaraendelea, matukio ya uhalifu ni mengi sana tatizo mnapenda kukuza mambo,Mbona hamzungumzii watoto wasio a hatia waliouawa Njombe? Hawa sio binadamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulinzi wa watu na mali zao ni jukumu la polisi kikatiba,yanapotokea mauaji yoyote ni wajibu wa polis kuchunguza,hili swali lako sijui umewalenga polis au wewe mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yetu na umoja wetu umevurugwa na watu wawili tu. Sina haja ya kuwataja maana wanajulikana. Hebu fikiria viongozi wa dini wanaitwa wakatoe ushauri mahala fulani, matokeo yake wao ndio wanatoka na ushauri wa nn chakwenda kuwahubiria waumini wao. Hapo kuna Wazee kweli??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msitake huyu mtu aonekane kinyume na jinsi ilivyo,huyu mtu anajibiwa na watu kwa utashi wa kila mmoja anavyoona inafaa.

Kosa ambalo litafanuwa na serikali ni kujalibu kujibu chochote kwa mfumo rasmi,lissu anaomba spaceship akaitishe comferece mpaka jupiter huko.

Kwa sasa naagiza kimya kiendelee kutawala,akiishamaliza atarudi nyumbani kumkaba mh sasa ili hatua zichukuliwe.
 
Taifa letu limejaliwa hazina kubwa. Huu upepo wa Lissu kwa majibu mwepesi yanayotolewa kwa hoja nzito ,hayana tija kwa afya ya umoja ,ustawi na taswira ya taifa letu.
Baba wa taifa aliwahi kushauri taifa mara nyingi na kuandika vitani pia mfano , "Tujisahihishe"
Tunajenga nchi moja ,tujivunie taifa letu. Tusisubi wasuluhishi wa nje.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hazina kubwa hii hapa:
IMG-20170117-WA0003.jpg
 
Usijali, wako vijana wameajiriwa kibao huku mitandaoni kuzima hoja za llisu kwa kumwagia moto petrol. wewe huoni kila baada ya muda lazima mwanalumumba mmoja apandishe nyuzi ya kumhusu lissu
 
Nauona mwisho mbaya ya wote wenye mamlaka ya juu dhididi ya jambo hili.kuna mambo yafuatayo yanaweza kufanyika:
1. Kuwaondoa walioshiriki zoezi hili lililoshindwa na wote wanaojua chochote juu take.
2.Mwanzo wa kulipizana visasi katika taifa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tufanye dua na ibaada Muumba awakumbushe Wazee wetu Wenye hekima waingilie kati kwa Maslahi mapana ya Taifa. Binadamu tunaheshimu sana habari hasa toka Chanzo mahiri. Inatuingia tunahabarishana , hivyo chuki inakua na kujengeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom