Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 10,111
- 19,672
Mwenye odds 3 au nne basi,msaada nilale niamke kwa wakala kesho.Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Khaaa! Weew jamaaa ukishinda basi wew ni kamalian mzuri sana .looooo!!!
Mkuu kabla hazijaanza uliutupia humu
Tisaidie link mkuu.Odds 57 hizo,85% uhakika.
Mtanishukuru baadaye.View attachment 1534809View attachment 1534810View attachment 1534811