Sasa hawa PARIMATCH unatengeneza mkeka unaulipia, ukienda tazama betslip unakuta majina ya team zote wametoa wameacha machaguo yako tu, sasa hata ukupigwa unajuaje ni team ipi imekuchania
20200706_100617.jpg
 
Haya leo tena siku nyingine baada ya man city na inter kutia mchanga kwenye biriani hebu tujaribu leo kwa hawa
mbeya city huyu hana option nyingine zaidi ya kushinda au kudroo kwani anapambana kutoshuka daraja( mpe DNB)
Sevilla ushindi kwake leo ni lazima baada ya kupoteza mechi kadhaa
Spurs DNB,
Weder bremen (german play off) DNB huyu pia anahitaji ushindi ili kubaki bundersliga baada ya kulazimishwa sare nuymbani
Sporting (Portugal) DNB

Karibuni kwa uchambuzi zaidi
 
Ukiweza achana na ligi kubwa. Nenda ligi kama ice land, feroe island kacheze over, gg etc.
 
Sasa hawa PARIMATCH unatengeneza mkeka unaulipia, ukienda tazama betslip unakuta majina ya team zote wametoa wameacha machaguo yako tu, sasa hata ukupigwa unajuaje ni team ipi imekuchaniaView attachment 1498828
Nilishawaambia parimatch wapigaji bora turudi kwenye kampuni zenye kukata kodi lakini una uwakika wa kupiga kazi kuliko hawa matapeli mimi mpaka leo mpunga wangu bado sijaupata.😂😂
 
Usicheze na kanjibai.
Jana mkeka wa timu 13 odds 32.7 dau la 5000 Atalanta niliomba Kona 9 Hadi dk 87 Kona zilikuwa 6 velona na mwenzake niliomba over 1.5 Hadi dk ya 89 goal ni 1 kanji kanileyea 3300 nicash out minshida ya nini nikacash kuamka asubuhi akina velona 2 bila na akina Atalanta Kona 10 kweli usicheze na akili za kanji ila wapo wanaomwotea
 
Kwahiyo ukapishana na gari ya hela, unatakiwa uiamini strategy yako no matter what. Leo ungeamka vizuri hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom