rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,529
- 6,608
Bado Braga
alikuwa kafunga 2 ila zote zimekataliwa huyu refa ataniua kwa preshaBado Braga
Sijui na mimi nijilipueKesho nakufa na madrid alafu naweka laki aisee
Unafuataga market zp mkuu mnyaluKizuri kula na wenzio hebu weka mikeka iyo basi unayobet na sisi tusafishe nyota maana nishaliwa sana.
Sgr langu la timu 18 zimetoa zimebaki 12 za keshoKesho kanji nakuwekea 60k ukila Basi nirudishe faida yangu odds nne Tu uchomoki kesho
Sent using Jamii Forums mobile app
Langu Lazio kapita nalo timu 10Sgr langu la timu 18 zimetoa zimebaki 12 za kesho
Market zp unapendelea kucheza
Win, draw, gg sio za kucheza
Kabisa mkamaria tatizo zinashawishi mfano point ya Madrid keshoWin, draw, gg sio za kucheza
Cheza over1.5, time2, corner,time2;red card 1 na penalty1 hukosi odds3-4stake ya kesho nikiweka lazima nitafute Valium au panaldo nikishaweka na meza nalala
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu tutunya kaniweza leo. Tupeane tu pole. Usingizi hauji tena.
Odds 1.99+ Sure 90%..
View attachment 1497433
Ngumu kumeza.. Odds 1,000+.. Chagua chache..
View attachment 1497416
Matajiri wakubwa duniani wameanza kuwekeza mitaji ktk hii biashara kwani hv sasa kamari imetake over biashara ya dawa za kulevya na silaha, pia kamari haina usumbufu kulinganisha na biashara hzo zingineKumbe sometimes wana-fix matokeo eehhh? Lazio alikuwa na mpira mbovu sana.
Timu kama hz mhindi hana habari nazo, ni sawa gwambina, sahare, tukuyu stars nkstake ya kesho nikiweka lazima nitafute Valium au panaldo nikishaweka na meza nalala
Sent using Jamii Forums mobile app