Jamani hebu toeni shule jwa ufupi jinsi ya kubet maana hizi 1.5 siju 3.75 mi sizielewi na natamni kweli haya mambo. Ila sina elimu nayo
maswali ya msingi kwanza.....
umejiandaaje na kufunga ndoa na muhindi??

je unaroho nyepesi au ngumu??

unaweza kuacha kutumia akiba yako ya mwisho kwa ajili ya chakula ukatupia kwa muhindi kujaribu zali?

Je simu yako huwa unaweka bundle la kutosha maana huku kama unategemea MB 50 utajutia mzee.....maana unaweza kushangaa unaweka stake kumbe bundle limekata!! yaani namaanisha simu yako iwe na uwezo wa kuwa na bundle LA kutosha all the time!!

karibu sana....Ila ujue huku kuna raha na karaha!!
 
Mkuu una muda gani tangia uanze ku bet?
una elewa nini kuhusu ku bet yaan nini unavijua kwa ufupi ili tuanzie hapo
Sifahamu chocho nilibahatisha siku moja kwa kuchagua namba ndogo tupu mfano kama 1.5 na 17.5 nachagua 1.5, nikaliwa kwa hiyo sielewi chochote
 
maswali ya msingi kwanza.....
umejiandaaje na kufunga ndoa na muhindi??

je unaroho nyepesi au ngumu??

unaweza kuacha kutumia akiba yako ya mwisho kwa ajili ya chakula ukatupia kwa muhindi kujaribu zali?

Je simu yako huwa unaweka bundle la kutosha maana huku kama unategemea MB 50 utajutia mzee.....maana unaweza kushangaa unaweka stake kumbe bundle limekata!! yaani namaanisha simu yako iwe na uwezo wa kuwa na bundle LA kutosha all the time!!

karibu sana....Ila ujue huku kuna raha na karaha!!
kama sahv mi nina karaha na sitaweza kumuelezea kuhusu betting
 
jamani mimi nimelipuka hivi leo......liwalo na liwe ili maisha yaendelee....! naenda kibanda umiza kucheki gemu ya liverpool chama langu!....kwenye mkeka sijamweka !
leo leo.JPG
 
Hapna mkuu sikushauri kbsaaa uskmbilie odds mlima kisa timu chache umeona hapo kila mechi INA hatari tupu kuja kuisha zotee zikitck ur Lucky, na nilisema kama umestake basi sa 7:30 utakuw unalia mechi ya Sydney iko dakk ya 84 goli 3-0 ungewka over 2.5

Ya Madrid over 1.5ft
Ya Bochum over 2.5ft
Ya turkey hiyo btts yes,over 1.5ft yes
Ya Russia Tambov under 4ft
BOOOOM
 
Vpi sasa umetick na shukuru hapo kwa Sydney goli la 4 na 5 kalipiga dakk ya 79,80 mkeka ulikuw hatrii tupu ulkuj tukauedit ukatulia ikawa sure bet
Siku hzi huwa natest mitambo shuti nje ya kumi na nane Mkuu huwa sio mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom