Thank you god 3-0
Ahhhhhh Alubatiiiiiiiiiiiiiiiii mi naona Benfica anataka kunlaza njaa maombi jamani mpaka sasa ashapigwa kimoko na Santa Clara na nilimuwekea Benfica awin au adroo halafu yupo ugenini dah najuuuuuuta anyway bado ka dakika 45 hivi anaweza akafanya comeback
 
76%

Stake what you can afford to lose View attachment 1258889
Bet won
Screenshot_2019-11-09-22-06-38-1.jpeg
 
Maombi muhimu hapo
Ahhhhhh Alubatiiiiiiiiiiiiiiiii mi naona Benfica anataka kunlaza njaa maombi jamani mpaka sasa ashapigwa kimoko na Santa Clara na nilimuwekea Benfica awin au adroo halafu yupo ugenini dah najuuuuuuta anyway bado ka dakika 45 hivi anaweza akafanya comeback
 
This is a Business, ukitaka kutafuta pesa acha mihemuko. Nalala na 3M profit. Usiku mwema
Biashara haikuwa rahisi, vipi kama draw ingepatikana ungeweza kuniquote? Odds ziliongea Arsenal wabovu, lakini Leicester hakuaminiwa moja kwa moja. DC kwangu ilikuwa ni best bet kwa game hii, harufu ya draw ilikuwa inanukia mwisho dk 90 zimeamua, hongera kwa ushindi.
 
Mimi leicester nilimuamini,mikeka yote ya jakpot nilimpa.arsenal wasingeuweza mziki wa kina vaddy.
 
Ivo
Screenshot_20191109-224316_SportPesa.jpeg
 
Kuna WEBSITE Inaitwa h2hsat.net Niliigundua Juzi Wakat Nafanya Utafiti Wa ODDS Za Over 6.5
So Nikakutana Na Kipart Ambacho kinakutengenezea mkeka kwa Prediction za mechi zao bure Tu Yaani kama Calculator, Unasema Unataka ODDS Zipi Then Total ODDS Ngap, Tangu Juzi Naona Mikeka Wanayotengeneza Ina make Sense Kila Nikifuatilia Result, Mfano Huu Wa Leo Wa ODDS 180 Mechi Moja Tu Ndio Imegoma Kama Sikosei Wale Wavivu Wenzangu Piteni Na Humo, Na Tangu Juzi Habari Ndio Hiyo, mechi Moja Hadi Tu.

SCREENSHOT HIZI HAPA
T3.PNG

H2H STAT.PNG
 
Mimi leicester nilimuamini,mikeka yote ya jakpot nilimpa.arsenal wasingeuweza mziki wa kina vaddy.
Bila kujali uwezo wao kwa sasa, hata bookies hawakuweza kuwaamini Leicester direct kwa game ya leo mpaka halftime shot on target ni 2 kwa 1, kwa kasi kubwa game ilikuwa inaenda kuwa draw, ila mambo yakabadilika na ndio mpira ulivyo. Tumsubiri Barca...
 
Mechi uliiangalia lakini? Kuna mechi zingine unaona kabisa.. mtu anaweza kukaza sana lakini mwisho wa matokeo kipigo kinakuwa palepale tu.mimi ningekuwa hata na milioni ninge stake kwa leicester.
 
Kuna WEBSITE Inaitwa h2hsat.net Niliigundua Juzi Wakat Nafanya Utafiti Wa ODDS Za Over 6.5
So Nikakutana Na Kipart Ambacho kinakutengenezea mkeka kwa Prediction za mechi zao bure Tu Yaani kama Calculator, Unasema Unataka ODDS Zipi Then Total ODDS Ngap, Tangu Juzi Naona Mikeka Wanayotengeneza Ina make Sense Kila Nikifuatilia Result, Mfano Huu Wa Leo Wa ODDS 180 Mechi Moja Tu Ndio Imegoma Kama Sikosei Wale Wavivu Wenzangu Piteni Na Humo, Na Tangu Juzi Habari Ndio Hiyo, mechi Moja Hadi Tu.

SCREENSHOT HIZI HAPA
View attachment 1258982
View attachment 1258983
Iko playstore
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom