Fanya ivi nenda kwenye account yako kama vile unavyoenda kuwithdrawal kwa juu utaona kaalama ka kalamu bonyeza hapo baada ya hapo utaona tena kwa chini umeandikiwa activate by email bonyeza utatumiwa email nenda kwenye email yako confirm baada ya hapo ukitaka kutoa hela inatoka moja kwa moja hakuna maswala ya sms code

Baada ya kuactivate account furahia kutoa pesa View attachment 1228856View attachment 1228861
Nashukuru kwa maelekezo yako mkuu.

Lakini nimefanya hivyo, still nikitaka kutoa naambiwa nisubiri SMS CODE.
 
Odd iliyoshiba, sasa weka stake kubwa uone unavyobanduliwa
Screenshot_20191010-215749.jpeg
 
ningekuwa na namba za hawa makocha ningewatukana kisenge yaani!! michezaji ipo mingi bench inashindwa kufanya sub! mechi unazozidharau ndo huwa zinatoa...anyway kesho nayo siku pia
Screenshot_2019-10-10-23-40-27.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom