Kila nikiweka 0920 wananiambia Nakosea.....nini tatizo
Ili uweze ku deposit ni lazima uanzie kwenye account kwanza, utabonyeza deposit kisha utaweka kiasi halafu watakutumia ujumbe. Ukilipia b4 hujaweka kiasi kule kwa account haitakubali
 
IMG_8489.JPG
mnakwama wapi mbona simple
 
Dah! Sasa mkuu mda wote nauliza mamba yakampuni si ungeniambia ni 400700

Mkuu vitu vingine sijui unauliza vya nini

Nenda pale 1XBET

Deposit

Fuata njia unayotumia kama ni mpesa tigo pesa au mpesa

Watakupa na kiwango cha chini cha kudeposit

Ukibofya watakupa maelekezo yote tena mepesi sana.

Hebu tupeanea tips saivi deposit na withdrawals ukiona unashindwa wacontact kwenye customers support

Utaelekezwa vyema kabisa
 
Uki taka ku enjoy iz kampuni za nje ama hata za hapa ndani eg parimatch ama nje 1xbet/bet 365

Fanya FULL REGISTRATION
Huta sumbuliwa kutuma namba ya kitambulisho ama kuambiwa utume kitambulisho ukiwa ume shika na ndio maana kampuni kama bet 365 huwezi kufanya deposit kama huja kamilisha Full Reg na hata kweny withdraw wana kwambia kabisa hutoweza kutoa pesa endapo utakua huja kamilisha usajil ivo ni muhimu kwa wakamaria wenzangu kama una tumia 1xbet na uko na ile partial ama temporary reg nenda kweny acc yako fanya ku update taarfa zako uwe full reg life lisonge as usual
 
Mzee baba jamaa wamerudi! Je watatupa hela au ndo tutaendelea na vilio??
 
Kuna jamaa niliwaambia hili
Uki taka ku enjoy iz kampuni za nje ama hata za hapa ndani eg parimatch ama nje 1xbet/bet 365

Fanya FULL REGISTRATION
Huta sumbuliwa kutuma namba ya kitambulisho ama kuambiwa utume kitambulisho ukiwa ume shika na ndio maana kampuni kama bet 365 huwezi kufanya deposit kama huja kamilisha Full Reg na hata kweny withdraw wana kwambia kabisa hutoweza kutoa pesa endapo utakua huja kamilisha usajil ivo ni muhimu kwa wakamaria wenzangu kama una tumia 1xbet na uko na ile partial ama temporary reg nenda kweny acc yako fanya ku update taarfa zako uwe full reg life lisonge as usual
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom