Haina shida nmewithdraw imekubali
Duuh!...nimeCharti nao....

Aisee, hivi vizungu hivi lugha zimekuja kwa Ndege.

Sijaelewana nao kabisa, wamenipigia....Nahisi inahitajika Namba za Kitanbulisho hivi, something like that.

Nitaendelea kuparangana nao kesho.
 
Vipi tupe mrejesho imekuja baada ya muda gani au haijaja mpaka uwa WhatsApp M-lipa?

Haya yatakuwa mambo ya M-bet unatoa pesa saa tatu asubuhi inakuja saa nane mchana manina
Mkuu, nahisi kuna mambo ya kuwapa namba za kitambulisho.

Wamenipigia, sema kizungu mzee...na hizi shule zetu za Kata!.

Ila nitaparangana nao kesho...let me sleep now.
 
Wakuu mm nkiingia 1*bet ndo nakutana na hyo ktu je hzo code nazipataje?
Screenshot_20191010-071723.jpeg
 
Hahahahahaa
Hitimisho
Tunarejea 1xbet kwa nguvu zote, hata tukiliwa lakini mrusi ametuwekea uwanja mpana. Kwaheri sportpesa na 20% yenu na ndugu zenu wote.
Makampuni gani mko hapa hapa bongo mnashindwa kuweka mechi za tz lakini kampuni ipo kwa putin inatuwekea!
 

Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom