Nasikia 1XBET imerudishwa sema payment kwa TIGO PESA sijaona ipo kwel
Screenshot_20191009-215132.jpeg
Screenshot_20191009-223924.jpeg
 
Kuhusu makampuni ya nje kutapeli wateja,
ninachoweza kusema ni kuwa;
Makampuni ya kubet yapo kufanya biashara kama biashara nyingine. Mtu mmoja anayewapa hasara kubwa kila siku huwa hawamtaki.
Ukiwasikiliza watu waliofungiwa akaunti au kuwekewa mipaka ya kubet au kuzuiwa kabisa kufungua akaunti zenye utambulisho wao halisi, kwanza madau yao yalikuwa si ya kitoto, pia wanasema walipewa maelezo na bookies kuwa wamefungiwa kwa sababu ya trade decision.
Kumbuka bookie wengi kwenye vigezo na masharti wana uhuru wa kumfungia mteja yeyote anayekiuka vigezo na masharti. Moja ya vigezo na masharti ni kosa kwa mtu mmoja kumiliki akaunti mbili, wanakuorodhesha kama bonus abuser (kwa hiyo watz waliokuwa na akaunti za kenya walikuwa na kosa ambalo adhabu yake ni kufungiwa akaunti) lakini hawakufungiwa.
Kwa mbetiji mdogo na wa kati asikutishe mtu kuwa unaweza kutapeliwa, wewe beti tu. Ila kama una ndoto ya kupiga mapesa mengi siku moja Kampuni kubwa zote za Ulaya zinatuhuma hiyo kwa nyakati tofauti.
 
Hitimisho
Tunarejea 1xbet kwa nguvu zote, hata tukiliwa lakini mrusi ametuwekea uwanja mpana. Kwaheri sportpesa na 20% yenu na ndugu zenu wote.
Makampuni gani mko hapa hapa bongo mnashindwa kuweka mechi za tz lakini kampuni ipo kwa putin inatuwekea!
 
Kuna watu ni wabishi wa kuzaliwa...22bet ina features kama 1xbet ila ni bora kwa sasa ukicompare na 1xbet...wanobet 500 tsh hawawezi nielewa...mi leo tu kwenye page yangu hist from 9/10/2019 to 9/10/2019 nimebet almost 300,000 Tsh kwa 22 bet....
View attachment 1227938
22bet ina Mobile option for Depositing/Withdrawing...???
 
Naona watu wanashangilia 1xbet kurud kwa mobile money za kibongo...ila kwa sisi wazoefu wa hizi mambo tunawaambia kuwa hakuna kampun ya betting ya nje ya kitapeli kama 1xbet..1xbet ni wazur ukiwa unaliwa ila siku ukianza kuwala ndo utajua 1xbet ni watu gani..utafanyiwa mizengwe yote mwisho wa siku utashtukia balance inasoma 0..nawashauri wanaobet kwa 1xbet wafanye kwa caution kubwa....wazoefu watanielewa. Kwa sasa the best site ya nje kwa hapa bongo ni 22bet
Huko huko yatajulikana mbele kwa mbele
 
Man mi ni 'GURU' nabet mwaka wa 10 sasa...nabet mpaka 1 milion per one stake....si basket si football..si volleyball....elewa ninachokwambia...hunifaham sikufaham ila ukiamua kutokufanyia kazi ushaur wangu ni poa pia. Ila kwa wale wanaobet 100k, 200k , 500k wameshanielewa naongelea nini kuhusu utapeli wa 1xbet
Wewe kama wewe walishawahi kukudhurumu???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom