recovery 9.JPG
 
kweli kabisa
Mnaotaka kununua tips kwenye site muwe makini na pesa zenu hizo kama zinawawasha bora ukamuonge hata demu anaweza akakupa kitumbua...in short hao huwa ni wezi tu ukikutana na mwaminifu basi 1/100 halafu huwa hakuna ukweli wowote kuwa tips zao ni 100% sure na wenyewe wanabet kama sisi tu!! Ila kinachofanyika ni kuwa wanakuwa wanamatokeo yote 3, unakuta mwingine anapewa ticket ya team ya nyumbani ishinde mwingine anapewa team ya ugenini ishinde na mwingine anapewa game iiishe draw

Angalia hii attachment yaani unavyoona hapo mpaka mwezi unaisha hakuna loss na hata ikitokea loss hazizidi 3 yaani hizo za kuzugia tu!! Na wengine ukishafanya payment wanakublock kabisa au ndo utatuma SMS mpaka utachoka mwenyewe...kwa neno moja huwa nawaita SCAMMER nilishawaexperiance sana na kuna mmoja alinitumia juzi game ya toteheheehhnam kunivuta na wala sikushoboka naye na mwisho wa siku game ili lose na hawa jamaa huwa hawana site moja unaweza ukakuta mmoja anasite zaidi ya moja anabadilisha tu majina!! Na wengi wao huwa wanatokea MACEDONIAView attachment 1226072
 
hao ndo wezi wakubwa
Na kuna wale wengine huwa wanatoa correct score huwa wanatuma kabla screen shot kabla ya mechi lakini wanaziba zile sehemu za odd na sehemu za matokeo baada ya mechi wanatuma screen shot ile ile lakini inakuwa sehemu ilozibwa mwanzo papo wazi Na huwa wamepatia japo mimi sijawai nunua odds kutoka kwao je hao nao vip ni wezi au maana wanajigamba eti hizo mechi matokeo yameshapagwa
 
Kampuni wana sponsor ligi kuu ya italy wewe umawaita scammer kwa ajili ya review ambayo mtu yyt anaandika mtandaoni hata mwenye chuki binafsi. Ulaya wanakubali ujue haina shida
Yah ila wabongo wabishi sana! Nilishatuma link humu inayoonyesha reviews kuhusu 1xbet na star rate yake ni ndogo, wengi wanalalamika kwa kutumia neno Scammer, stay away from 1xbet nk!
 
Hahahaha
Hakuna kitu kinauma ka timu zinacheza umezipa under 3.5, af hadi dk ya 80 ngoma lbd iko 1-0, huku ka moyo kanaanza kufurahia, unatoka livescore unajua mkeka ushatiki, ile unakua kucheki unakutana na LOST, unahisi bookmaker matapeli, kwa hasira unaingia livescore, unakuta magoli yalifungwa dk ya 85, 87 90. Af stake mlima,Hapo ndo utajua dunia haina huruma.Unaeza ukapata mafua ghafla ile DAIMA MBELE NYUMA MWIKO we ukaisema DAIBA BELE NYUBA BWIKO. mmh, ukitaka kubet, agana na presha kwnz Mamaeeeeeee..!!
 
Tutatumia 1xbet tu kwa sababu wamesharudisha njia za kudeposit komaeni na vikampuni vyenu
Mimi mwenyewe namshangaa! pesa zetu alafu anatupangia cha kuzifanyia
Ninge sema kitu juu yake ila acha nilinde heshima yangu kwa jamii inayo nizunguka
Hiv kinachobishiwa hapa ni nini hasa? Huyu Hector ametoa mawazo yake na amependekeza 22bet badala ya 1xbet na sababu katoa! Hapo swala chagua kilicho sahihi kwako na wala siyo mipasho isiyo na msingi wowote!
What the hell of thought is this?
 
Hiv kinachobishiwa hapa ni nini hasa? Huyu Hector ametoa mawazo yake na amependekeza 22bet badala ya 1xbet na sababu katoa! Hapo swala chagua kilicho sahihi kwako na wala siyo mipasho isiyo na msingi wowote!
What the hell of thought is this?
Umeona nani ametoa mipasho?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom