2odds
Member
- Sep 25, 2019
- 39
- 41
Si uitumie skrill mkuu
Card yangu ina msala mkuu
Si uitumie skrill mkuu
Watarudsha..ni ishu za marekebsho tu!1xBet
Waseng* wametoa na bitcoin deposit methods
Watarudsha..ni ishu za marekebsho tu!
Wakisharudsha, ufute post!
Watarudsha..ni ishu za marekebsho tu!
Wakisharudsha, ufute post!
odds tano kwa bei ya 100kWewe ushawai nunua fixed na zilikuwa ni odd ngapi?
Wakuda wiki nzima hauwezi kutoa hela kwa visa(withdrawal via visa is temporary unavailable)1xBet
Waseng* wametoa na bitcoin deposit methods
waneanza lini utaratibu wa kukatakata? Mbona tulikuwa tunadeposit bure!Nimehangaika Sana Na 1xbet
Changamoto Ni Withdraw Na Deposit
Nimeona Bora Niache Tu, Nimepachoka
Kutoa Pesa Unakatwa, Kuweka Pesa Unakatwa Tens Sio Buku
Ni Zaid Ya Buku 3 Visa Card Ya BancABC
Na Kilichjonikwaza Ni Unatoa Pesa Muhamala Wanaufelisha Wenyewe 1xbet Ila Wanatuma Signal Kwa Operator Wa Card So Unakatwa Mtonyo Na Kama Huna Wanakuwekea Deni
Kuna Siku Nikajikuta Nadaiwa Elfu 15 Kisa Transaction Mbili Za Withdraw Ziligoma Via 1xbet.
So Nimeshindwa Mimi, Nimerud Betpawa, Naweka Pesa Hata Nikiamua Kuitoa Muda Huo Huo Bila Kubet Naitoa Na Sikatwi Chochote, Na Natoa Muda Wowote.
Wa 1xbet Endeleeni Ndugu.
Ndio kampuni ninayotumiaWakuda wiki nzima hauwezi kutoa hela kwa visa(withdrawal via visa is temporary unavailable)
Ngoja niamie 22bet wanaotumia hii waniambie vp kutoa hela haina changamoto kama 1xbet mara wabadilishe kiwango cha kutoa mara kutoa haipatikani
Ndio kampuni ninayotumia
Naweka na kutoa pesa bila tatizo!
Labda kwa kiwango kikubwa ndio inaweza kuwa shida me huwa natoa kidgo kidgo less than 25000KES kuogopa changamoto za id verification
Wajaribu wako njema labda kwa badae wabadilike!
Ungekuwa na lain ya safaricom shida usingepata, kuna 22bet kwa kenya ndo inatumika hiyo kuweka na kutoa pesa, ila 1xbet kutoa tu kwa njia ya simu, mana operator wanakata unapoweka ,nazani walikwepa makato wakatoa njia ya simu kuweka ila hao 22bet is the same as 1xbet.Nimehangaika Sana Na 1xbet
Changamoto Ni Withdraw Na Deposit
Nimeona Bora Niache Tu, Nimepachoka
Kutoa Pesa Unakatwa, Kuweka Pesa Unakatwa Tens Sio Buku
Ni Zaid Ya Buku 3 Visa Card Ya BancABC
Na Kilichjonikwaza Ni Unatoa Pesa Muhamala Wanaufelisha Wenyewe 1xbet Ila Wanatuma Signal Kwa Operator Wa Card So Unakatwa Mtonyo Na Kama Huna Wanakuwekea Deni
Kuna Siku Nikajikuta Nadaiwa Elfu 15 Kisa Transaction Mbili Za Withdraw Ziligoma Via 1xbet.
So Nimeshindwa Mimi, Nimerud Betpawa, Naweka Pesa Hata Nikiamua Kuitoa Muda Huo Huo Bila Kubet Naitoa Na Sikatwi Chochote, Na Natoa Muda Wowote.
Wa 1xbet Endeleeni Ndugu.
Hii kitu pia ndio maana imenitoa 1xbet nimeenda 22 bet kuna siku muamala wa kuweka pesa ulikua unafeli kama mara tano ivi da kuja kuchek eti salio halitosh ikabidi niangalie taarifa fupi (bank statement) da kuja kuchek kumbe nilikua nakatwa 1200 mara 5 hata kama muamala umefeli 6000 yote ikaishia kukatwa tu ila kwa 22 sijakatwa hata miaNimehangaika Sana Na 1xbet
Changamoto Ni Withdraw Na Deposit
Nimeona Bora Niache Tu, Nimepachoka
Kutoa Pesa Unakatwa, Kuweka Pesa Unakatwa Tens Sio Buku
Ni Zaid Ya Buku 3 Visa Card Ya BancABC
Na Kilichjonikwaza Ni Unatoa Pesa Muhamala Wanaufelisha Wenyewe 1xbet Ila Wanatuma Signal Kwa Operator Wa Card So Unakatwa Mtonyo Na Kama Huna Wanakuwekea Deni
Kuna Siku Nikajikuta Nadaiwa Elfu 15 Kisa Transaction Mbili Za Withdraw Ziligoma Via 1xbet.
So Nimeshindwa Mimi, Nimerud Betpawa, Naweka Pesa Hata Nikiamua Kuitoa Muda Huo Huo Bila Kubet Naitoa Na Sikatwi Chochote, Na Natoa Muda Wowote.
Wa 1xbet Endeleeni Ndugu.
Ungekuwa na lain ya safaricom shida usingepata, kuna 22bet kwa kenya ndo inatumika hiyo kuweka na kutoa pesa, ila 1xbet kutoa tu kwa njia ya simu, mana operator wanakata unapoweka ,nazani walikwepa makato wakatoa njia ya simu kuweka ila hao 22bet is the same as 1xbet.