1xBet
Waseng* wametoa na bitcoin deposit methods
Wakuda wiki nzima hauwezi kutoa hela kwa visa(withdrawal via visa is temporary unavailable)

Ngoja niamie 22bet wanaotumia hii waniambie vp kutoa hela haina changamoto kama 1xbet mara wabadilishe kiwango cha kutoa mara kutoa haipatikani
 
wazoefu wa localbitcoin nataka kudeposite 22bet kiwango cha chini kudeposite ni Tsh Ngapi?
 
Screenshot_20191009-103928.jpeg
 
Nimehangaika Sana Na 1xbet
Changamoto Ni Withdraw Na Deposit
Nimeona Bora Niache Tu, Nimepachoka
Kutoa Pesa Unakatwa, Kuweka Pesa Unakatwa Tens Sio Buku
Ni Zaid Ya Buku 3 Visa Card Ya BancABC

Na Kilichjonikwaza Ni Unatoa Pesa Muhamala Wanaufelisha Wenyewe 1xbet Ila Wanatuma Signal Kwa Operator Wa Card So Unakatwa Mtonyo Na Kama Huna Wanakuwekea Deni
Kuna Siku Nikajikuta Nadaiwa Elfu 15 Kisa Transaction Mbili Za Withdraw Ziligoma Via 1xbet.

So Nimeshindwa Mimi, Nimerud Betpawa, Naweka Pesa Hata Nikiamua Kuitoa Muda Huo Huo Bila Kubet Naitoa Na Sikatwi Chochote, Na Natoa Muda Wowote.

Wa 1xbet Endeleeni Ndugu.
 
waneanza lini utaratibu wa kukatakata? Mbona tulikuwa tunadeposit bure!
 
Wakuda wiki nzima hauwezi kutoa hela kwa visa(withdrawal via visa is temporary unavailable)

Ngoja niamie 22bet wanaotumia hii waniambie vp kutoa hela haina changamoto kama 1xbet mara wabadilishe kiwango cha kutoa mara kutoa haipatikani
Ndio kampuni ninayotumia
Naweka na kutoa pesa bila tatizo!

Labda kwa kiwango kikubwa ndio inaweza kuwa shida me huwa natoa kidgo kidgo less than 25000KES kuogopa changamoto za id verification

Wajaribu wako njema labda kwa badae wabadilike!
 
Finnaly na mm nimekua mwanafamilia wa 22bet nimedeposit sasa hivi kwa bitcoin.
Mambo muswano
 
Nimehangaika Sana Na 1xbet
Changamoto Ni Withdraw Na Deposit
Nimeona Bora Niache Tu, Nimepachoka
Kutoa Pesa Unakatwa, Kuweka Pesa Unakatwa Tens Sio Buku
Ni Zaid Ya Buku 3 Visa Card Ya BancABC

Na Kilichjonikwaza Ni Unatoa Pesa Muhamala Wanaufelisha Wenyewe 1xbet Ila Wanatuma Signal Kwa Operator Wa Card So Unakatwa Mtonyo Na Kama Huna Wanakuwekea Deni
Kuna Siku Nikajikuta Nadaiwa Elfu 15 Kisa Transaction Mbili Za Withdraw Ziligoma Via 1xbet.

So Nimeshindwa Mimi, Nimerud Betpawa, Naweka Pesa Hata Nikiamua Kuitoa Muda Huo Huo Bila Kubet Naitoa Na Sikatwi Chochote, Na Natoa Muda Wowote.

Wa 1xbet Endeleeni Ndugu.
Ungekuwa na lain ya safaricom shida usingepata, kuna 22bet kwa kenya ndo inatumika hiyo kuweka na kutoa pesa, ila 1xbet kutoa tu kwa njia ya simu, mana operator wanakata unapoweka ,nazani walikwepa makato wakatoa njia ya simu kuweka ila hao 22bet is the same as 1xbet.
 
Hii kitu pia ndio maana imenitoa 1xbet nimeenda 22 bet kuna siku muamala wa kuweka pesa ulikua unafeli kama mara tano ivi da kuja kuchek eti salio halitosh ikabidi niangalie taarifa fupi (bank statement) da kuja kuchek kumbe nilikua nakatwa 1200 mara 5 hata kama muamala umefeli 6000 yote ikaishia kukatwa tu ila kwa 22 sijakatwa hata mia
 
Ungekuwa na lain ya safaricom shida usingepata, kuna 22bet kwa kenya ndo inatumika hiyo kuweka na kutoa pesa, ila 1xbet kutoa tu kwa njia ya simu, mana operator wanakata unapoweka ,nazani walikwepa makato wakatoa njia ya simu kuweka ila hao 22bet is the same as 1xbet.

BetWiner
1xBet
MelBet
22bet
Na 1XBIT

Naona hawa jamaa wanatumia platform moja. Mpaka napata mashaka asije akawa mmiliki ni mmoja wa haya makampuni

Kuna makampuni mengi machanga hayana majina. Yakiona kuna customer anakula kila wiki zaidi ya $500 ghafla bin vuuuh wanaifunga account yako na huwez tena kuitumia
 
Hakuna kitu kinauma ka timu zinacheza umezipa under 3.5, af hadi dk ya 80 ngoma lbd iko 1-0, huku ka moyo kanaanza kufurahia, unatoka livescore unajua mkeka ushatiki, ile unakua kucheki unakutana na LOST, unahisi bookmaker matapeli, kwa hasira unaingia livescore, unakuta magoli yalifungwa dk ya 85, 87 90. Af stake mlima,Hapo ndo utajua dunia haina huruma.Unaeza ukapata mafua ghafla ile DAIMA MBELE NYUMA MWIKO we ukaisema DAIBA BELE NYUBA BWIKO. mmh, ukitaka kubet, agana na presha kwnz Mamaeeeeeee..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom