IMG_20190921_015305_410.jpg
 
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅Booooooooooooom
 
Mkuu mbona hapo umeponea kwenye tundu la sindano I see....hapo ulicheza handicap yaani wa home ashinde kwa tofauti ya point 19.5, sasa matokeo ya mwisho ni 89: 69 ( 69 + 19.5 = 88.5) kwa maana hiyo bet yako inakuwa win maana mpinzani hajakufikia kwa tofauti ya 0.5 so usifikiri system imejichanganya, umeshinda kwa bahat sana!!!
Aisee hii manake ni nini hasa? Kama najichanganya sana kutafsiri hiv ila mech imeisha saiv na ni greenView attachment 1212556
 
Naomba kuuliz wadau hii option inaanisha ndani ya dakika 10 za mwanzo jamaa wasifungane ndo unapata mpunga au ndani ya dakika 90 hadi ziishe lisipatikane goal
Screenshot_2019-09-21-08-43-56.jpeg
 
Hiyo option wameweka kulingana na dk inaanza na none hapo maana yake hakuna goal kabisa.
Inafata 1-10 kuna odds zake
11-20 kuna odds zake ambazo zote wameweka ndani ya dk 10 hahijalishi ni dk ya ngapi goal la kwanza litapatikana.

Kama ulichagua dk 61-70 goal la kwanza likapatikana dk 67 basi hapo unakuwa ume-win


Ukiweka none basi hiyo game iishe 0-0
Oky ukiweka none inaama hakuna ndani ya hizo dakika 10 za mwanzo??
 
Naomba kuuliz wadau hii option inaanisha ndani ya dakika 10 za mwanzo jamaa wasifungane ndo unapata mpunga au ndani ya dakika 90 hadi ziishe lisipatikane goalView attachment 1212664
Ndani ya dk 10 za mwanzo goal la kwanza lipatikane boss
hapo game inakua ipo ndani ya mafungu ya dakika kumi(10) kumi(10), ukiweka none maana yake lisipatikane goli ndani ya dk 10 zozote yaani from 0-10 kusiwe na goli, 11-20 kusiwe na goli, hivyo hivyo from 21-30,31-40……81-90
 
Well said...ndo maana odds zake zipo mlima hiyo option ni sawa na kumchangia kanji kiulaini kabisa
hapo game inakua ipo ndani ya mafungu ya dakika kumi(10) kumi(10), ukiweka none maana yake lisipatikane goli ndani ya dk 10 zozote yaani from 0-10 kusiwe na goli, 11-20 kusiwe na goli, hivyo hivyo from 21-30,31-40……81-90
 
Hahaha ... umenikumbusha Virtual Games, hatari sn. Yani ni either unatajirika ndani ya dk 10 ama unafirisika ndani ya huo muda.
Acha tu, mimi nacheza roulette kuna siku unakuwa na bahati unavuna tu hela na kuna siku ya gundu unaliwa tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom