chonde chonde wakuu hapo weka nyumba na unachomiliki CHELSEA LAZIMA AFE ZA KUTOSHA ....MIMI NAWEKA 100,000
IMG_20190912_185408.jpeg
 
Chelsea tia maji Norwich jasho ..Cardiff jasho darajani hapo sembuze kwa ureno team.....nitarudi kwa mrejesho zaidi
 
Leo kuna mswaada umepitishwa bungeni kuhusu hii biashara yetu pendwa na naskia wamezidi kutubana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom