Sio lazimq uende ndipo upewe mkwanja wako sijaona kanuni inayosema tutashikilia pesa yako endapo hutakuja kutwanga photo hapa ofisini
Vigezo na masharti kuzingatiwa kabla ya kupewa mkwanja
Screenshot_2019-09-12-00-42-27-1.jpeg
 
mfano bikosports wameandika kabisa kule chini kama sio "jinsi ya kubet" basi "kuhusu sisi"
Ukishinda, watakuwa na mamlaka ya kutumia taarifa zako kibiashara kama picha, sauti video kwa mwaka mzima tangu siku ya ushindi wako.
Hakutakuwa na malipo yoyote kwa kazi hiyo na hutakuwa na uhuru wa kukataa.
Yaani ukisoma zile TC's hutakuwa na hamu nao kubet kabisa.
UKikataa wana suspend account na kilichomo?
 
mfano bikosports wameandika kabisa kule chini kama sio "jinsi ya kubet" basi "kuhusu sisi"
Ukishinda, watakuwa na mamlaka ya kutumia taarifa zako kibiashara kama picha, sauti video kwa mwaka mzima tangu siku ya ushindi wako.
Hakutakuwa na malipo yoyote kwa kazi hiyo na hutakuwa na uhuru wa kukataa.
Yaani ukisoma zile TC's hutakuwa na hamu nao kubet kabisa.
Hapo ndo ujikute mzee wa kanisa, umepiga milioni zako 14. Sijui utaziacha kuficha aibu mbele ya kanisa lako na waumini wenzio au utakubali tu kupata fedheha huku ukitoa sadaka iliyonona na fungu la kumi pasipo manung'uniko ?
 
UKikataa wana suspend account na kilichomo?
Watz tuna akawaida ya ku-accept tu na kujaza kila kitu bila kusoma vigezo na masharti tunapojiunga na hizi kampuni.
Ukikataa taarifa zako binafsi kutumika kwa matangazo kama picha, eneo unaloishi, kazi, sauti yako, video nk, wao kuna kipengele wamekubana kwamba; (sio nukuu rasmi lakini)
Iwapo mteja (mbetiji) atakiuka vigezo na masharti ya kampuni, mwenye kampuni atakuwa na mamlaka ya kufungia akaunti na kile kilichomo (fweza) na kitajumlishwa mwisho wa mwaka kwenye taarifa ya mapato ya kampuni.
Hiyo ni kwa upande wa bikosposts
 
Tips for all: Both teams to Score (BTTS)
===============================
NK Domzale - Mura
Slovenia 1. SNL 19:10
Odds: 1.76
===============================
Pyunik Yerevan - Alashkert
Armenia Premier League 09:00
Odds: 1.77
===============================
Arema FC - Pusamania Borneo
Indonesia Super League 12:30
Odds: 1.6
===============================
Persiraja Banda Aceh - PSGC Ciamis
Indonesia Liga 2 14:30
Odds: 2.38
===============================
Austria Vienna (Am) - Ried
Austria Erste Liga 18:10
Odds: 2
===============================
Villefranche - Toulon
France National 19:00
Odds: 2.16
===============================
FC Eindhoven - Roda
Netherlands Eerste Divisie 19:00
Odds: 1.63
===============================
Briton Ferry - Cwmamman United FC
Wales Division 1 19:30
Odds: 2
===============================
Charleroi - Genk
Belgium Jupiler Pro League 19:30
Odds: 1.6
===============================
Club River Plate - Deportivo Santani
Paraguay Primera Division 23:45
Odds: 1.75
===============================
 
Unadhani wanaokwenda pale wanapenda
Terms and conditions applied mkuu
Tatizo hatusomi terms and conditions
Watanzania wengi hatuna utamaduni wa kusoma terms and conditions kabisa.
Mfano tu hata whatsapp walipoanza ku-ban wanaotumia un-official whatsapp unakuta mtu analalamika hoo wana-ban wao kama nani! Lakini kumbe kwenye T§Cs walishaeleza hilo!
 
*Bet9ja👉🏿Z562M26N*

1660 UEFA Champions League, Women
Fiorentina Women FC - Arsenal Ladies
Over(2.5) *1.43*

2594 Esiliiga
Parnu JK Vaprus - FCI Levadia Tallinn U21
Over(2.5) *1.50*


Odd👉🏿 *2.15*
 
Stake inheritance

*Bet9ja👉🏿Z562M26N*

1660 UEFA Champions League, Women
Fiorentina Women FC - Arsenal Ladies
Over(2.5) *1.43*

2594 Esiliiga
Parnu JK Vaprus - FCI Levadia Tallinn U21
Over(2.5) *1.50*


Odd👉🏿 *2.15*
 

Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom