Wazee nataka kuingia kwenye hii kitu lakini sijui kampuni nzuri ya kubeti na kumalizana kimyakimya ni ipi!!
 
Hivi yule jamaa aliyekuwa anawekaga stake za mamilioni aliishia wapi isee maana nakumbuka game ya mwisho aliyotupia alipigwa na kanji....na before alisema anaprofit kama ya 10mil ndani ya week moja...sasa nawaza hapa hizo zote zilikuwa mbwembwe kutulingishia au ilikuwa niaje??
Hahahah nimemmiss sana
 
Hahah ... kwamba wao wanile kimya kimya hata 100m, ila mm nikiwabutua wanianike ili niwe chambo wa kuwaletea wateja zaidi. Huu ni ukuda ! Respect privacy za watu.
Watafute watu wa matangazo, ambao tunawaona kwenye mabango/matangazo mbalimbali ya kibiashara.

Waache tuendelee kulana kimya kimya hivi hivi.
MPPWAAA NYOKOSANA HAWA JAMAAA AANAA TU
 
Hivi hawa jamaa hata m7 tu wanakuweka kwenye bango namna hii? ... hapana aiseee !


View attachment 1204390
Mimi huwashangaa hata wale wanaoshinda michezo ya biko, na hizi jackpot za kampuni za kubet unakuta wanakugeuza kigaragosi cha promosheni zao!!! huu ni ujinga uliopitiliza mbona wakati unaliwa hawakutangazi!!!!!?? je wanawalipa fedha za matangzo!!!? je! wanajua madhara ya kumtangaza mtu kashinda kiasi kikubwa cha fedha kiusalama na kijamii!!!?? ukoo mzima utahamia kwako kila tatizo watakufuata wewe!!!?? zaidi ya hapo michezo ya kamari ni michezo ya aibu huwa tunaifanya sirini kwa aibu sasa unakuja kutangazwa hadharani kuwa na wewe unacheza kamari?
 
Niliachana na Sportpesa kwa sababu ya hii tabia ya kuitwa ofisini ukapige nao picha. Huku Betpawa haikuwepo hii kitu, nakumbuka niliwahi kulamba mil.8 huku Betpawa mzigo uliingia kimyakimya. Haya matangazo yao ya sasa sio poa kwa sisi Mabaharia
Sio lazimq uende ndipo upewe mkwanja wako sijaona kanuni inayosema tutashikilia pesa yako endapo hutakuja kutwanga photo hapa ofisini
 
twende kazi
Screenshot_20190911-203953.jpeg
 
Leo nilitengeneza mkeka bhana, nikaweka
Ha Noi Btts yes
Sotra ya Norway btts yes
Nikataka nitie 30000 roho wa kanji akagoma usiweke stake ww utaliwaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom