mkuu jamaa wamefanyiwa come back na kikosi chao kabisa wakatiwa cha ushindi bila kufurukuta. aisee kwa namna hii bora matrain tu ya jero jero hii kuchukua game 2,3 unatia mpunga mrefu ni hatari saana... imagine wiki nzima odd3 tu mkeka unapasuliwa na tim moja. jana odd 2.4 psg anakimbia na pesa yangu
Mkuu direct win ni ngumu mno. Mie nakomaa na treni tu. Odds 3, 4, 5, 6 mpaka 7. Si kwamba nakula daily, hapana, ila nikila mmoja katika mitano, ni PESA.
 
Kipindi Cha 2015 kurud chin kupata 1m, sijui 2m, au zile 10 ilkua n kugusa wale jamaa wa 32 millions za premier bet Sana tuu.

Angalia jackop ya mbet inaliwa kinoma kuliko ya sportpesa jiulize kunan kama mbet apangi watu Yan Ela ikiwa nyingi anaset mtu anamtangaza fanya research washind wa jackpot ya mbet watafute kwenye social networks Kama utampata hata mmoja na washind wao wanatokea ikwiriri, kibondo, sikonge, Mara sijui Kijiji gan hakuna hata mmoja anajua social networks Yan majina ya washind wao hayamatch na huku mtaan ndo ujue huu n mchezo mchafu Kama unatafuta pesa ya kufanya maisha kupitia betting kwasasa n ngumu mno ukiotea mzee kimbia mbali Sana
Hii kitu kaka nilishaifanyiaga research, ni kweli washindi wa M-bet kwenye social networks kuwapata ni mbinde.. Hua inaonekana wazi washind wanapangwa. Siku hizi nimeitema M-bet nshaona wezi tu
 
Timu kubwa hazinunuliwi Bali zinalazimishwa kutokushinda au kutoa matokeo yaliyobetiwa kwa wingi tafuta ile video ya ile handball ya city angalia uniambie n ball to hand au n handball

Sijasema city kanunuliwa mnielewe ila timu n nyingi zinanunuliwa.

Kila muda unavyozidi kwenda watu ndo wanaxid kuliwa na wanaxidi kuwa mateja wakudhan wanaweza shindana na bookies jiulize kwann sites xote huwa hazitofautian odds Yan huwa xinaendanaendana kwann hukuti leo pigabet wamempa Simba 1.5 na ukienda Ladbrokes unakuta Simba ana odds 4
Hakunaga ball to hand wala handball keenye sheria moya,mpira ukigusa mkono ni kosa
 
Kuna watu huku wanajifanya wanajua sana mambo kuhusu betting companies

hivi kweli hata kwa akili yako et Epl imeadopt VAR kwa ajili ya kamari mambo mengne yanaonekana kwa maana yake matokeo ya mech yanapangwa kwamba. kama ni kweli hyo VAR itumike kumuua man city wakati anacheza na Norwich

maswala yenu yakutuandkia txt ndefu ambzo hazna ukwel ndan yake muache ungekuwa hata na uhusiano hta na TFF apo tungekuamin unakuja kutuletea habar ambzo sizo kwamba unaelewa sana mambo
 
Hao hawaongi timu wanahonga mtu anaeamua matokeo ambae haonekan kwa mashabiki huyo mtu anaekuwa manVAR huyu wazee wa mipango wanamfata wanamseti.
Pia sikuhizi timu zinanunuliwa Kama kawaida nenda Russia, China, Japan, Czech,Greece, italy, German, France league 2, English leagues 1,2,3,4,5,6, Spain laliga 2,3,4, nazingine nyingi huko

Hawa jamaa wanadatabase ya kila metchi option gan imechezwa Sana kuliko kabla ya mechi jiulize uturuki timu zote kubwa zimepigwa Galata, bekistas, na huyu wa Jana instabul baking bado leo fenebache
var man a.ka.a var ref wanamset,
Hhh crap crap crap.
Unaonyesha hujawahi ingia nchi za europe maishani mwako,mfano uk tu,hmrc utawaeleza income yako umepataje na imeingia kutoka wapi,"wanamset" ni total bullshit lbda ligi za hku africa,mbele ni msala,ma ref wanalindwa sana ,hta ukienda kumset unapoteza mda,utaozea jela na utapigwa ban usijihusishe na soka miaka flan au forever
In short,fixed odds zipo chache saaana na adim kulko bkra na kamwe huwezi pata africa,africa utapata match fixing scandals ambazo hazhusiani direct na betting.
Mtu anaeuza odds letsay bongo hana tofauti na yahoo boys
 
Ngoja nirudi ulingoni sasa

Nazui goliView attachment 1185361
Bet won
Screenshot_2019-08-19-17-37-08-1.jpeg
 
Kipindi Cha 2015 kurud chin kupata 1m, sijui 2m, au zile 10 ilkua n kugusa wale jamaa wa 32 millions za premier bet Sana tuu.

Angalia jackop ya mbet inaliwa kinoma kuliko ya sportpesa jiulize kunan kama mbet apangi watu Yan Ela ikiwa nyingi anaset mtu anamtangaza fanya research washind wa jackpot ya mbet watafute kwenye social networks Kama utampata hata mmoja na washind wao wanatokea ikwiriri, kibondo, sikonge, Mara sijui Kijiji gan hakuna hata mmoja anajua social networks Yan majina ya washind wao hayamatch na huku mtaan ndo ujue huu n mchezo mchafu Kama unatafuta pesa ya kufanya maisha kupitia betting kwasasa n ngumu mno ukiotea mzee kimbia mbali Sana
SIO KWELI ETI MBET JACKPOT ANAPANGA WATU, NAKUKATALIA 200%. RAFIKI YANGU WA KARIBU AMEWAHI PIGA 284M TENA AKATI ANASUKA MKEKA, NAMI NASUKA WANGU
 
Toka nimeamua ku bet kwa uviziaj naona mambo si mabaya niseme ukweli.. Mambo yamechange..

Singlebet/1.2odds/

Navizia game za ushindani.
1-1,1-2,2-2
Hapa ni over tuu no direct win

Game ikishafika 1-3 or 1-4 sibet hata iweje
mwisho wa kuweka bet dk ya 70..baada ya hapo swek bet

Mwisho si kila game ni ya kubet
 
Ukiona watu badala ya kutengeneza mbinu mbadala wanabaki kulumbana pasipo uhakika.. Ujue tayari maji yamefika shingoni! Wakuu kukata tamaa ni mwiko! Kama mbinu zimefeli rudi nyuma na anza mikakati upya! Always don't give up!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom