Kipindi Cha 2015 kurud chin kupata 1m, sijui 2m, au zile 10 ilkua n kugusa wale jamaa wa 32 millions za premier bet Sana tuu.

Angalia jackop ya mbet inaliwa kinoma kuliko ya sportpesa jiulize kunan kama mbet apangi watu Yan Ela ikiwa nyingi anaset mtu anamtangaza fanya research washind wa jackpot ya mbet watafute kwenye social networks Kama utampata hata mmoja na washind wao wanatokea ikwiriri, kibondo, sikonge, Mara sijui Kijiji gan hakuna hata mmoja anajua social networks Yan majina ya washind wao hayamatch na huku mtaan ndo ujue huu n mchezo mchafu Kama unatafuta pesa ya kufanya maisha kupitia betting kwasasa n ngumu mno ukiotea mzee kimbia mbali Sana
 
Nimeandika ninachokijua VAR ya England hii ilionza wiki Jana sio Kama VAR iliotumika Africa au world cup uingereza wanafuata Kama ilvyoandikwa hawapindishi Jambo lakin ukiangalia na ukaistudy vizuri kwa gamehz chache zinambeba bookies nasio mkamaria

Mimi sijaanza kubeti leo nipo namiaka Zaid ya kumi enzihzo tunaenda pale newafrica hotel hvyo nikikwambia kanunuliwa kwstimu ujue kupo tenasana tuu fixed zimo Sana enz zile ila saiz zipo ila kwa usir mkubwa Sana Yan tangu blatter kaondoka wenye mipira huko wakaanza kumwaga alichoshikilia Kama n unga anamwaga, jiko anavunja, mwenye glass anapasau Yan tukose wore ndomana huku Africa fixed haziji na zimekuwa ghali Sana kuzipata.

Pale Ladbrokes watu walikuwa wanaweka Hadi USD 50,000 Yan game Moja mtu anaweka USD 5000 Mara 10
Watu wakiambiwa fixed zipo hawaamini wanalia tuuu eti utapeli
 
Watu wakiambiwa fixed zipo hawaamini wanalia tuuu eti utapeli

Fixed zipo na haziwez kukosekana ila AFRICA na watu wenye kipato chachin n ngumu kupata ila kipindi Cha blatter fixed tulikuwa tunaenda New Africa hotel pale tunasubiri wadosi waje wakija anakwambia leo man u anafungwa kipindi chakwanza full time anashinda au anakwambia Madrid leo droo kakope pesa ucheze kesho uumpe hell yake nakwel zinatoa.

Unafkir kibur Cha kina Mino Raiyola kinatokana na commission za kina Pogba na morinyo n kufanikiwa dili Kama hz ndomana wanaendesha magari makali na wanajeuri,kibur na nyodo za pesa kuzid wenye mpira wao.

Nenda India huko kunawahindi wanapesa mpaka wanaumwa sababu ya fixed

Jiulize timu za China zinapata wapi pesa za kusajili gharama vile wakati kwanza n taifa lililochipukia hv juz kwa utajir na mpira wa mguu kwa sio priority
 
Timu kubwa hazinunuliwi Bali zinalazimishwa kutokushinda au kutoa matokeo yaliyobetiwa kwa wingi tafuta ile video ya ile handball ya city angalia uniambie n ball to hand au n handball

Sijasema city kanunuliwa mnielewe ila timu n nyingi zinanunuliwa.

Kila muda unavyozidi kwenda watu ndo wanaxid kuliwa na wanaxidi kuwa mateja wakudhan wanaweza shindana na bookies jiulize kwann sites xote huwa hazitofautian odds Yan huwa xinaendanaendana kwann hukuti leo pigabet wamempa Simba 1.5 na ukienda Ladbrokes unakuta Simba ana odds 4
Odd zote zinatoka kwenye source moja kuzuia arbitrage

Game ya City unaiganya ni kama game nzima ilikua ni kakipengele kale tu....

City kakata mauno game nzima, yangekataliwa magoli labda matano hapo kweli tungesema kuna kitu

Lakini handball moja tu ndio uhalalishe var kannunuliwa

Na pia lazma uelewe kwamba anaye amua mwisho ni refa wa filimbi na sio var

Var inamsaidia refa kujiridhisha
 
Fixed zipo na haziwez kukosekana ila AFRICA na watu wenye kipato chachin n ngumu kupata ila kipindi Cha blatter fixed tulikuwa tunaenda New Africa hotel pale tunasubiri wadosi waje wakija anakwambia leo man u anafungwa kipindi chakwanza full time anashinda au anakwambia Madrid leo droo kakope pesa ucheze kesho uumpe hell yake nakwel zinatoa.

Unafkir kibur Cha kina Mino Raiyola kinatokana na commission za kina Pogba na morinyo n kufanikiwa dili Kama hz ndomana wanaendesha magari makali na wanajeuri,kibur na nyodo za pesa kuzid wenye mpira wao.

Nenda India huko kunawahindi wanapesa mpaka wanaumwa sababu ya fixed

Jiulize timu za China zinapata wapi pesa za kusajili gharama vile wakati kwanza n taifa lililochipukia hv juz kwa utajir na mpira wa mguu kwa sio priority
Mkuu haya mambo tuyaache bana kila mtu aamini anavyo amini

Hapa tupeane mbinu za kushinda na sio kuaminishana kwamba bila kununua fix au bookies wananunua var

Tunawachosha wakamalia
Wanataka tip
 
Uliamini anashinda au sio? hutoamini sana mzee... hamna mtu mwenye guarantee ya ushindi
mkuu jamaa wamefanyiwa come back na kikosi chao kabisa wakatiwa cha ushindi bila kufurukuta. aisee kwa namna hii bora matrain tu ya jero jero hii kuchukua game 2,3 unatia mpunga mrefu ni hatari saana... imagine wiki nzima odd3 tu mkeka unapasuliwa na tim moja. jana odd 2.4 psg anakimbia na pesa yangu
 
Ngoja nirudi ulingoni sasa

Nazui goli
Screenshot_2019-08-19-16-31-11-1.jpeg
 
Wataalamu wa Tennis, leo kuna rundo la mechi za US Open Qualification ... tupeni dondoo pls.
Set's Handicap
 
Fixed zipo na haziwez kukosekana ila AFRICA na watu wenye kipato chachin n ngumu kupata ila kipindi Cha blatter fixed tulikuwa tunaenda New Africa hotel pale tunasubiri wadosi waje wakija anakwambia leo man u anafungwa kipindi chakwanza full time anashinda au anakwambia Madrid leo droo kakope pesa ucheze kesho uumpe hell yake nakwel zinatoa.

Unafkir kibur Cha kina Mino Raiyola kinatokana na commission za kina Pogba na morinyo n kufanikiwa dili Kama hz ndomana wanaendesha magari makali na wanajeuri,kibur na nyodo za pesa kuzid wenye mpira wao.

Nenda India huko kunawahindi wanapesa mpaka wanaumwa sababu ya fixed

Jiulize timu za China zinapata wapi pesa za kusajili gharama vile wakati kwanza n taifa lililochipukia hv juz kwa utajir na mpira wa mguu kwa sio priority
Sio kama sijui kuwa fixed zipo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom