Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,098
- 8,846
Kama vile uko akilini mwangu. Nimewapa over 3.5 mapema sanaa.Hapa kunanukia magoli kipindi cha piliView attachment 1182108
Mkeka mmoja wamekimbia na hela nikawapiga mkeka mwingine niliwapa washinde japo kipindi kimoja.
Mmh Lampard kabadili sana wale watu, wako vizuri sana.Mkuu unawaonaje wale vijana wa Lampard? Bahati haikuwa yao aisee ila wamecheza mpira safi kabisa.
mkuuasanteni kwa dua janaView attachment 1182115
Hahahaha anapiga story tu za vijiweni hivi anafikiri kuipata timu moja yenye ushindi ni kazi ndogo Watu walioipa liverpool Jana waulize wanajisikiaje?
Jana Liverpool nikaanza kuwaza labda niingie mimi nicheze angarau nirudishe hela yangu
Mmh Lampard kabadili sana wale watu, wako vizuri sana.
Hii wikiendi lazima nimzalishe kanji kuna game 1800+ nikose odds 3 kweli????Naam wakiendelea hivyo naona ushindi mkubwa mbele yao siku ya jpili
nambie mkuumkuu