Cluster2 99% Tukutane dirishani
Screenshot_20190815-124233~2.jpeg
 
Sina elimu yeyote ya bitcon mkuu, nilizoea kudeposite kwa m pesa ama mtu kunirushia

Angalia hiyo post inamelezo ya kutosha
Mwanzoni inaonekana kama ipo completed lakini ukifanya mara moja tu utaona yakawaida kabisa
 
Hahahaha anapiga story tu za vijiweni hivi anafikiri kuipata timu moja yenye ushindi ni kazi ndogo Watu walioipa liverpool Jana waulize wanajisikiaje?
Bet direct win ikiwa una nyota nayo ila kwa mimi walau GOALS atleast haina presha na asilimia za kula ni kubwa.

mf. Liverpool vs Chelsea dk 48 tayar 1.5 over imetoa au 0.5 1H ilitoa huwezi kulingana na aliye bet draw FT.
 
Nami nimekaa kitako nipate kupewa hiyo timu yenye ushindi...

Siyo kazi ndogo kupata odds 1.5 kwenye betting.
kabla ya ukamaria unaona ni easy 7bu haujui kiendeleacho na kikubwa ni baada ya FT ndio unaona ni easy si wangeweka tu GG mbona ilionekana draw
wacha aanze kuweka BE4 KICK OFF vilio tupu.

Gary Neville alikua akimkosoa Mourinho sana",. ila alikua akikosoa output, Mungu mkubwa Gary akapata timu (Valencia) game ya kwanza kala 7.. Game 10 jamaa katimuliwa..
Mou akasema ndio ajue tofauti ya kufundisha na kuchambua",.. Siku hizi kimya...
 
Hahaha ... usinikumbushe kilichomkuta Thiery Henry pale Monaco ... timu ilikuwa inashuka daraja.
 
Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom