liverpool atashnda leo ila statistics znaonyesha chel akiingiaga fainal za cup kuloose ni ngumu alaf kuna watu wanaangalia makosa cheli aliyofanya kwenye mech ya man u kama kigezo cha chel kuloose hii ni betin isijeikatokea kama ya porto jana
 
Watu ni kama hatujifunzi kabisa humu ndani
Kila msimu kilio huwa ni direct win, na kilio kinaendelea hivi hivi hadi msimu utaisha

Inaoneka ni kama mtu ukiona tu jina kubwa la timu basi ni kuipa direct win au double chance
Jaribu kutafiti wadau wanao aminika kwa kutoa tips hapa jukwaani wanatumia zaidi options zipi? Na mara nyingi zina kuwa na mafanikio
Mkuu sioni tip zako
Umepumzika kubet?
 
Nataka kutake risk wadau kwenye jackpot ya sport pesa over 800,000,000
emoji23.png
emoji23.png
. Naitaji.mawazo yenu wadau kwani humu kuna watalamu na wabobezi katika hii fani. Kiasi nilichokiandaa ni 800,000 hii pesa niko willing kuipoteza .

Nacho hitaji kufanya kila wiki nataka nitumie 100,000 nitengeneze mikeka 50 mfululizo kwa wiki 8 nione kama naweza angukia bahati yangu. Najua mikeka 50 nimichache kupata matokeo halisi ndio maan a nimekuja kuomba ushauri katika uchambuzi wa timu kwani nikichambua mwenyewe nitakuwa buyers .

Najua kuna alternative nyingi za kumpiga muhindi ila betting/gambling ni ileile mwenye mawazo na ushauri naombeni tafadhaliView attachment 1181023
Utapigwa za uso bro! Nakushauri, ni bora utafute OVER
 
Mkuu ofkozi hakuna options za uhakika mia kwa mia
Kimahesababu, probability ya magoli ni kubwa zaidi ya 1x2, unaposema fulani atashinda tayari umesema kuna goli
Akishinda goli lipo, draw ya magoli na hata akifungwa goli lipo

Kwa mujibu wa watafiti bookies wanapoteza zaidi pesa kwenye single
Na katika hizo single zinazoongoza ni za magoli

Bookies wanaingiza zaidi pesa kwenye mikeka
Na katika hiyo mikeka ya 1x2 ndio inayo ongoza kwa lost
Na ndio maana jacpot kushinda ni zaidi ya miujiza sababu wanakulazimisha direct
Sure ndio maana kuna makampuni yanakupa hela ya bure ya kubetia lakini wanakulazimisha uweke 1x2
 
Nawasalimu tu wadau wenzangu, sijapita hapa siku nyingi, natumai mapambano yanaendelea.

Ref
Kazi yoyote ili ufanikiwe lazima uwe na nidhamu, hivyo tuwe na nidhamu. Tuache ule mchezo wa kuweka makokoro ambayo mwisho yanatupeleka kwenye kipigo.

Cheza game ulizozifanyia analyse tu. Odds ziwe 2-3.

Nawatakia kazi njema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom