Mkuu sioni tip zako
Umepumzika kubet?
Nipo mkuu nafukizana na bookies kimya kimya
Kunaa wakat bana ukipost una lost
Ukipiga kimya kimya ina won
Screenshot_2019-08-14-20-23-26-1.jpeg
 
Mkuu ofkozi hakuna options za uhakika mia kwa mia
Kimahesababu, probability ya magoli ni kubwa zaidi ya 1x2, unaposema fulani atashinda tayari umesema kuna goli
Akishinda goli lipo, draw ya magoli na hata akifungwa goli lipo

Kwa mujibu wa watafiti bookies wanapoteza zaidi pesa kwenye single
Na katika hizo single zinazoongoza ni za magoli

Bookies wanaingiza zaidi pesa kwenye mikeka
Na katika hiyo mikeka ya 1x2 ndio inayo ongoza kwa lost
Na ndio maana jacpot kushinda ni zaidi ya miujiza sababu wanakulazimisha direct
Sure ndio maana kuna makampuni yanakupa hela ya bure ya kubetia lakini wanakulazimisha uweke 1x2
 
Nawasalimu tu wadau wenzangu, sijapita hapa siku nyingi, natumai mapambano yanaendelea.

Ref
Kazi yoyote ili ufanikiwe lazima uwe na nidhamu, hivyo tuwe na nidhamu. Tuache ule mchezo wa kuweka makokoro ambayo mwisho yanatupeleka kwenye kipigo.

Cheza game ulizozifanyia analyse tu. Odds ziwe 2-3.

Nawatakia kazi njema.
 

Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom