Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,703
- 5,635
INPLAY
Mechi ya Krasnodar II
Over 2.5FT
Mechi ya Krasnodar II
Over 2.5FT
Hawa wanatuma haraka sana, hazizidi dk 5.
Aweke msisitizo zaidKama unaamini hivyo weka Laki mpe chelsea!!ana odds 6!!
Ndo walewale wa Uefa;Liver vs spurs ooh spurs anashinda sjui nini akala Kepu
Nipo mkuu nafukizana na bookies kimya kimyaMkuu sioni tip zako
Umepumzika kubet?
WOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALAINPLAY
Mechi ya Krasnodar II
Over 2.5FT
Haha!Kunaa wakat bana ukipost una lost
Ukipiga kimya kimya ina won
Kwaninimbona unatutisha mkuu
Tuko pamojaThanks BASIASI Void ab initio kwa tips zenu wakuu
Sure ndio maana kuna makampuni yanakupa hela ya bure ya kubetia lakini wanakulazimisha uweke 1x2Mkuu ofkozi hakuna options za uhakika mia kwa mia
Kimahesababu, probability ya magoli ni kubwa zaidi ya 1x2, unaposema fulani atashinda tayari umesema kuna goli
Akishinda goli lipo, draw ya magoli na hata akifungwa goli lipo
Kwa mujibu wa watafiti bookies wanapoteza zaidi pesa kwenye single
Na katika hizo single zinazoongoza ni za magoli
Bookies wanaingiza zaidi pesa kwenye mikeka
Na katika hiyo mikeka ya 1x2 ndio inayo ongoza kwa lost
Na ndio maana jacpot kushinda ni zaidi ya miujiza sababu wanakulazimisha direct
WOOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALAINPLAY
Mechi ya BodoGlimt
Over 1.5 FT
Aise Void ab initio una nyota sana, mgodi umetema muda huu aise. ShukraniTukutane baadayeView attachment 1181339
WOOOOOOOOOOOOOOOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALA.Leo ni Leo Cluster 1.View attachment 1181293
WOOOOOOOOOON TUKUTANE KWA WAKALA. AISEEEEE.Tukutane baadayeView attachment 1181339
Pamoja Mkuu,Hongera.Aise Void ab initio una nyota sana, mgodi umetema muda huu aise. Shukrani