Sioni Chelsea anashindaje hii game. Labda km Liverpool hawana interest na hili kombe. Ukinzingatia Chelsea wanamkosa kiungo wao tegemezi Ng'olo Kante
Hii mechi ni moja wapo ya mechi chache duniani zenye kuwa na uhakika.

1 Win. Home win. Liverpool win. Chelsea loose.
 
Ntasimamaaaa kubet MIEZI sitaaa KABISAA MAANA na Dunia itakuwa inakaribia kusimamaaaaaa

Hahahaa, ikitokea Chelsea akashinda leo mbele ya Liverpool yenye kikosi matata ulimwengu basi litakuwa ni tukio la aina yake kwa club ya Chelsea msimu huu. Yaani itakuwa walituadaa sisi mashabiki ili tuelewe ni wabovu kumbe walikuwa wanatusomea upepo tu.
 
MAIN VIP TICKET

Japani
Kashima – Tochigi
Tip 1 @ 1.40

Switzerland
Zurich – St. Gallen
Tip BTTS @1.55

Uefa
Liverpool – Chelsea
Tip 1 @ 1.68

Uefa
Atromitos – Legia
Tip X2 @ 1.30

Germany
Saarbrucken vs FSV Frankfurt
Tip Over 2.5 @ 1.40

England
Taunton – Yate Town
Tip 1 @ 1.45

Austria
Wals-Grunau – SAK 1914
Tip Over 2.5 @ 1.40

USA
Los Angeles Galaxy – FC Dallas
Tip Over 2.5 @ 1.54
 
🔜 ::::::::::::{8/14/19, 22:00 PM}
🔜🏁BEST INFO🏁
♝♜♛♚▬▬▬▬▬▬▬♝♜♛♚
🔜Game:::liverpool vs chelsea
🔜Tip:::::[1/1]FT

🔜odds::::[ 3.40]

🔜
 
Tennis
Screenshot_20190814-185659.jpg
 
*BET9JA 👉 Z5BMGCNZ*

*⏰ 5:30PM*


4407 Cincinnati, USA
Zverev, Alexander - Kecmanovic, Miomir
*1HH 1.56*

6008 Cincinnati, USA
Kenin, Sofia - Diyas, Zarina
*1HH 1.34*

5271 Cincinnati, USA
Keys, Madison - Kasatkina, Daria
*1HH 1.38*

4554 Cincinnati, USA, Doubles
Klaasen R / Venus M - Krajicek A / Roger-Vasselin E
*1HH 1.46*

4681 Cincinnati, USA
Medvedev, Daniil - Paire, Benoit
*1HH 1.28*

5234 Cincinnati, USA
Barty, Ashleigh - Sharapova, Maria
*1HH 1.30*

3765 Cincinnati, USA, Doubles
Bopanna R / Shapovalov D - RAM R / Salisbury J
*2HH 1.48*


*ODD 10.37*

🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀🚴‍♀
*GREENLAND INTERNATIONAL*®
 
Carlstad-AFC Eskilstuna 3+ (1.50)
Kristiansund-Bodo Glimt 3+ (1.65)
Zurich-St.Gallen 3+ (1.65) FH Hafnarfjordur-KR Reykjavik 3+ (1.60)
 
liverpool atashnda leo ila statistics znaonyesha chel akiingiaga fainal za cup kuloose ni ngumu alaf kuna watu wanaangalia makosa cheli aliyofanya kwenye mech ya man u kama kigezo cha chel kuloose hii ni betin isijeikatokea kama ya porto jana
 
Watu ni kama hatujifunzi kabisa humu ndani
Kila msimu kilio huwa ni direct win, na kilio kinaendelea hivi hivi hadi msimu utaisha

Inaoneka ni kama mtu ukiona tu jina kubwa la timu basi ni kuipa direct win au double chance
Jaribu kutafiti wadau wanao aminika kwa kutoa tips hapa jukwaani wanatumia zaidi options zipi? Na mara nyingi zina kuwa na mafanikio
Mkuu sioni tip zako
Umepumzika kubet?
 
Nataka kutake risk wadau kwenye jackpot ya sport pesa over 800,000,000
emoji23.png
emoji23.png
. Naitaji.mawazo yenu wadau kwani humu kuna watalamu na wabobezi katika hii fani. Kiasi nilichokiandaa ni 800,000 hii pesa niko willing kuipoteza .

Nacho hitaji kufanya kila wiki nataka nitumie 100,000 nitengeneze mikeka 50 mfululizo kwa wiki 8 nione kama naweza angukia bahati yangu. Najua mikeka 50 nimichache kupata matokeo halisi ndio maan a nimekuja kuomba ushauri katika uchambuzi wa timu kwani nikichambua mwenyewe nitakuwa buyers .

Najua kuna alternative nyingi za kumpiga muhindi ila betting/gambling ni ileile mwenye mawazo na ushauri naombeni tafadhaliView attachment 1181023
Utapigwa za uso bro! Nakushauri, ni bora utafute OVER
 

Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom