daah...Leo ilikua ni kilio kila kona aseh, wakuu msimu huu ni wakuogopa sana normal win, matimu mengi makubwa sikuizi yanafanyiwa comeback mpaka unabaki kushangaa tu, afu humu, nimeshaona makamaria wazuri sana, kila wanapotupia tips zina tick,tujarb kushrikiana, ukiwa na uchambuzi wa maana share na wakuu hapa.Kama tunavyojua, serikali haina ajira kwasasa, hvyo kwa pamoja tushrikiane katka tasnia hii, inayoleta mpunga kwa haraka zaidi.Niwape pole makamaria wote, walio tairiwa na kanji, tusikate tamaa, tuendelee kumsaka.Msisahau kua "Gamblers should always accept ther looses". KAMA UNA tips Tupia apa tulale nazo angalau turudshe ata stake zetu, maana duh
Ni kweli normal haina mpango hata kidogo hii mikeka mitatu yote haikuwa na normal hata moja ilokuwa normal imepasuka ! Kwenye hii mitatu yote nlikuwa nasubiri game ya basel over 2.5 mpk dakika ya 60 kulikuwa na goli moja ila mwisho imetoa
Screenshot_20190814-000047_Opera.jpg
 
Daaah naombeni tuwe tunashirikiana wadau maana hali ishakuwa ngumu sahv kuchambua mechi nashindwa kabisa yaani
Ni kweli normal haina mpango hata kidogo hii mikeka mitatu yote haikuwa na normal hata moja ilokuwa normal imepasuka ! Kwenye hii mitatu yote nlikuwa nasubiri game ya basel over 2.5 mpk dakika ya 60 kulikuwa na goli moja ila mwisho imetoaView attachment 1180819
 
Sasa hv naona upepo ni wa OVER/UNDER, mazee swala la direct win, tutaugua presha na magonjwa mengne huko uzeeni...hahaha,..Mamaeee!!
 
_2.76 odds_

Coritiba - Gremio Esportivo Brasil
1X2: Coritiba
1.512
Zarina Diyas - Serena Williams
1X2: Serena Williams
1.315
Boca Juniors - Club Almagro
1X2: Boca Juniors
1.39

_2 odds_

Pachuca - Zacatepec
Total: Total Over (1.5)
1.21
Independiente del Valle - CA Independiente Avellaneda
Total: Total Over (1.5)
1.43
Queretaro - Tijuana
Total: Over 0.5
1.05
Club Universidad Nacional - UA Estado de Mexico
Double Chance: 1X
1.125
 
oya wazee wa treni na meli, me kila saa nachungulia huku, ila sion zile tip zenu.Tupieni jamani,labd ntarudisha stake yangu jana kanji kaondoka na 240K yangu, kwa huddersfield, kenge yule kashndw kutoa over 1.5..mamaeeee
 
oya wazee wa treni na meli, me kila saa nachungulia huku, ila sion zile tip zenu.Tupieni jamani,labd ntarudisha stake yangu jana kanji kaondoka na 240K yangu, kwa huddersfield, kenge yule kashndw kutoa over 1.5..mamaeeee
pole mkuu leo utarudisha tu
 

Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom