Screenshot_20190808-202956.png
pale unapoweka under 1.5 halafu unawasha data unakuta hivi
 
Kwa wale wanaopenda kujua jinsi ya kudeposit 1xbet kwa njia ya Bitcoin. Kuna mdau ameniuliza huko chemba, sio mbaya nikashare hapa pia.


Duuh maelekezo ni marefu kidogo, ila nitajitahidi ...

Jinsi ya kununua bitcoins.

1. Tengeneza account kwa ajili ya kuuza au kununua bitcoins hapa - LocalBitcoins.com: Fastest and easiest way to buy and sell bitcoins

2. Ukishakuwa na account, login then nenda sehemu imeandikwa "Buy bitcoins"

3. Weka kiasi unachotaka, chagua TZS then sehemu ya "All online offers" chagua aidha M-Pesa Tanzania ama Tigo Pesa (... inategemea unalipia kwa mtandao gani) halafu click Search.

4. Watatokea mawakala ambao wanauza na kununua bitcoins. Chagua yeyote then click Buy. Mimi mara nyingi namtumia Mallya1980 ama Felibiogeort ... hawa wako fasta sn kukuhudumia.

5. Ukishamchagua mmoja wapo kwa kuclick "Buy" pembeni ya jina husika, muda mfupi watakutumia ujume wenye namba ya wakala ili utoe hiyo pesa kwa njia ya kawaida ya kutoa hela kwny m-pesa ama tigo pesa.

6. Ukishatoa, chini ya sehemu ya kuandika ujumbe utakuta kuna button "I have Paid". Click hapo ili kumfahamisha kuwa umeshalipia.

7. Akishaconfirm km umeshalipia, atakuwekea bitcoins kwny Wallet yako. Yani ukiclick wallet kwenye account yako ya bitcoins utakuta kuna namba fulani zimewekwa (ndio bitcoins zenyewe)

Mpaka hapo unakuwa umeshanunua Bitcoins.



Jinsi ya kudeposit kwenda 1xbet sasa ...

1. Click "Top up account" kwenye 1xbet kama kawaida.

2. Kwenye "Types of payment systems", nenda kwnye "Cryptocurrency" then click Bitcoin

3. Utapata bitcoin address (muunganiko wa namba na herufi), pembeni yake kuna option ya ku-copy ... click hapo ili uicopy hiyo address

4. Rudi kwenye account yako ya Bitcoin, click wallet then this time click "Send bitcoins"

5. Sehemu ya "Receiving bitcoin address" weka address uliyoicopy kwny step namba 3 hapo juu.

6. Amount in bitcoin, itakuja automatically ... huhitaji kujaza chochote.

7. Description sio lazima, sehemu ya amount utaona amount ambayo itatumwa kwenda kwenye address uliyoiweka (i.e. 1xbet).

8. Click Continue.

9. Utaambiwa uweke password ya bitcoin account ili kuconfirm. Na hapo utakuwa umemaliza mchakato.



NB: Inachukua kuanzia dk 5-45 kwa amount kuingia kwny account ya 1xbet.
Wakuu naomba mwenye uelewa jinsi ya kutengeneza account ya kununua bitcoin. Nahitaji kutumia njia ya bitcoin kudeposit 1xbet
 
Asante wakuu Kwa mchango wenu jinsi ya kudeposit 1xbet Kwa kutumia bitcoin. Swali LA mwisho je ni option zipi kwenye 1xbet ni nzuri kubet ambazo zinatoa matokeo chanya
Wakuu nasubiri mchango wenu hapa Kwa mwenye uzoefu na 1xbet
 
Mkuu naona 1xbet wananigomea ikikubali naanza kurusha maana Nina pesa naishia kuingalia tu ndani ya account.
Mkuu ukisiskia 1xbet ni mafia ndio hivyo sasa
Hiyo hela ndio hutaitoa tena utaishia ku bet irudi ilikotoka ua uwe una log in unaiangalia kisha unatoka

Kwa haraka haraka inaonekana njia ulio deposit imepigwa pin sasa unataka kuhamishia salio

Mlipa walikuja na mybuxy watu wakadeposit wakapiga hela, ghafla wakapiga pini na hawakupi option nyingine ya kutolea as if wewe ndio mwenye makosa

Mpesa kenya wanabahati sana hawakufungiwa withdrawal sasababu 1xbet bado wanajadiliana na gvt
Lakini vinginevyo ni maulivu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom