Mimi sihami basket yani kila siku lazima betpawa anipe ela ya supu
Screenshot_20190620-151254_Chrome.jpeg
 
Ifanyie kazi uje nayo tuone kama tunaweza tambaa nayo AFCON
Mkuu, nimeangalia betpawa hii option ipo kwa mechi nne tu,wakati kule kwa Mrusi kaweka mpaka under 3.5 first half.
Kwakuwa natumia betpawa, kwa sasa sina ujanja tena..ngoja niangalie option nyingine.
 
Aaah aaah wadau naandaa mikeka 36.

30 ni Jackpot m-Pawa.
3 -Mnet perfect 12.
3- Jackpot sport pesa.

Dua zenu wakuu.... Nitaleta mrejesho ila kuna hati hati ya kuwapiga hawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom