mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,915
Naomba link ya app ya c1bet na je hivi mru unawesa deposite na withdraw ela x1bet kwa kutumia skrill?
Mkuu, nimeangalia betpawa hii option ipo kwa mechi nne tu,wakati kule kwa Mrusi kaweka mpaka under 3.5 first half.Ifanyie kazi uje nayo tuone kama tunaweza tambaa nayo AFCON
Basket inakupenda aiseeMimi sihami basket yani kila siku lazima betpawa anipe ela ya supuView attachment 1132487
Basket inakupenda aisee
Achana na hiyo mkuu itakusumbua kutoa
Safaricom au. Bitcoins ndio suluhisho
Kuna m Nigeria huwa ana share odds 2 au 3 za basket na huwa zinatoa.. Sema baadhi ya options naona hazipo betpawa yetuKwakweli naweza sema hvyo
Nataka hamia 1xbet nowKuna m Nigeria huwa ana share odds 2 au 3 za basket na huwa zinatoa.. Sema baadhi ya options naona hazipo betpawa yetu
Mkuu naomba nami uwe unanipa tips.Mimi sihami basket yani kila siku lazima betpawa anipe ela ya supuView attachment 1132487
Mkuu nami nisaidie ktk basketMimi sihami basket yani kila siku lazima betpawa anipe ela ya supuView attachment 1132487
Hakuna mzeeWadau BetPawa wana option ya kukata mkeka machale yakikucheza?
Hahaha hawana hio option hio ukiweka umeweka ki jumlaWadau BetPawa wana option ya kukata mkeka machale yakikucheza?
Mkuu Mrusi kampuni gani mkuu?Mkuu, nimeangalia betpawa hii option ipo kwa mechi nne tu,wakati kule kwa Mrusi kaweka mpaka under 3.5 first half.
Kwakuwa natumia betpawa, kwa sasa sina ujanja tena..ngoja niangalie option nyingine.
Aaah aaah wadau naandaa mikeka 36.
30 ni Jackpot m-Pawa.
3 -Mnet perfect 12.
3- Jackpot sport pesa.
Dua zenu wakuu.... Nitaleta mrejesho ila kuna hati hati ya kuwapiga hawa.
Calculated riskAaah aaah wadau naandaa mikeka 36.
30 ni Jackpot m-Pawa.
3 -Mnet perfect 12.
3- Jackpot sport pesa.
Dua zenu wakuu.... Nitaleta mrejesho ila kuna hati hati ya kuwapiga hawa.
Ni 1xbetMkuu Mrusi kampuni gani mkuu?
Anapokea za kibongo au tunaweka dollar mkuu?Ni 1xbet