Kibongo bongo sijawahi kukutana na game yenye option ya under 2. Hii unayosema wewe mkuu ni under 2.5; nimependa akili uliyotumia kumpiga muhindi, ngoja na mimi nijaribu labda hela ya kubadilisha mboga nitakuwa siikosi.
Hii ya under 2.5 first half nimeijaribu leo kwa game kumi, tena nilifanya randomly bila ya kufanya analysis nikapata odds 3 ila timu moja tu ndo imezingua.
Hii sijawahi ifikiria.. ila naona inaweza kuwa nzuri hasa ukituliza akili. View attachment 1131940
Screenshot_2019-06-19-21-41-47-764_com.opera.browser.jpeg
 
Deposit kutoka Mpesa kwenda Betpawa inazungua toka jana usiku, voda wanasema huduma haipatkani kwa sasa, kuna mdau aliyekutana na tatizo kama hili?
 
Mm nime withdraw ela imekatwa lakini haijafika kwangu ilikuwa jana usku nmewachek wanasema wanashughulikua tatizo langu halafu sasa asubuhi nime withdraw fresh ikatoka
Deposit kutoka Mpesa kwenda Betpawa inazungua toka jana usiku, voda wanasema huduma haipatkani kwa sasa, kuna mdau aliyekutana na tatizo kama hili?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom