We ni mshenzi una tabia mbaya na nimegundua una upendeleo yaani huna hata huruma...

Nimeamka asubuhi na msimbaz wangu ukanishawishi nikupe 7000\= eti utanipa milioni badae, nikakupa nikajibana na elf3 yangu ikatosha chai na lunch, ckuwa na shaka dinner juu yako lakini ukaamua kunilaza njaa..

Nasema tena SIKUPENDI huna ahadi za kweli nimegundua we ndo ulomfanya jokery aje jukwaani kuomba 2000\= ya kula japo sina hakika km Mmasai Dada alimsaidia

Km alimsaidia naomba na mm anisaidie mhindi kansaliti nimegundua hayuko fair

Uzi tayari
 
Angalieni alichofanya
Screenshot_20190611-122933.jpeg
Screenshot_20190611-122945.jpeg
Screenshot_20190611-122954.jpeg
 
We ni mshenzi una tabia mbaya na nimegundua una upendeleo yaani huna hata huruma...

Nimeamka asubuhi na msimbaz wangu ukanishawishi nikupe 7000\= eti utanipa milioni badae, nikakupa nikajibana na elf3 yangu ikatosha chai na lunch, ckuwa na shaka dinner juu yako lakini ukaamua kunilaza njaa..

Nasema tena SIKUPENDI huna ahadi za kweli nimegundua we ndo ulomfanya jokery aje jukwaani kuomba 2000\= ya kula japo sina hakika km Mmasai Dada alimsaidia

Km alimsaidia naomba na mm anisaidie mhindi kansaliti nimegundua hayuko fair

Uzi tayari
Beti kama hivi
Weka dau Dogo unakula ndogo na kubwa vile vile. Huyo Bulgaria alionekana tu atachana.
Screenshot_20190611-131722.jpeg
Screenshot_20190611-131802.jpeg
 
No, ni mechi za Jana na Leo. Hapo nazisubiri za Leo na hofu yangu ni kwa Wales na Turkey. Wakishinda hao nakula hilo dau
Mi mwenyewe nimecheza ila mi ya wiki, mi nimemwamini Hungary na Iceland ngoja tuone
 
Hiyo ya pili uliweka timu ngap
Niliweka zote za Jana isipokua Hungry ilokuchania ww, na za Leo isipokuwa Belarus vs Ireland hao nao hawatabiriki. Wales na Turkey wakikaza kesho nipe number yako PM nikurushie mtaji wa betting
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom