Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Mtu anashindwa kujiuliza kama hyu mtu kweli ana hzo fixed tips kwann asizitumie yeye kupata pesa nyingi anahangaika na vishilingi vyetu??Nimekusoma mkuu ni kweli.kabisahata wajinga hawko fb tu
Yani uwe na odds ya 300 uhakika uuze,wakati wew unaweza kuifanyia maajabu