Kuna mwanangu juzi kati alideposit elf 10 mybux
Kapiga hela kama laki4 hivi
Kuzitoa imekua mtihani mybux wamefunga huduma na hajui aanzie wapi
 
Wanaoulizia namna ya kudeposit 1xbet kwa bitcoins
Haya ndio maelekezo
Mengine utajiongeza maana mambo ni mengi na muda ni mchache

1, Fungua acc https://localbitcoins.com
2, baada ya kufungua utaona quick buy, chini yake utaona wauza bitcoins waliopo,
Napendekeza mchague MallyaCoins sababu yupo fasta na anauza kuanzia bitcoins za buku na anatumia mpesa na tigopesa

3, Baada ya kumchagua muuzaji itafunguka page ambapo utatakiwa kujaza kiasi cha hela unayotaka kununnua bitcoins na pembeni yake itatokea biticoins utakazo pata
Kisha Bofya "send trade request"

4 baada ya kubofya send request itafunguka page ambayo itakupa maelekezo namna ya kulipia bitcoins zako kwa muuzaji kwa njia ya mpesa na tigopesa

5 lipia biticoins zako kwa mpesa au tigopesa, na baada ya muamala kukamilika rudi kwenye localbiticoins kisha bofya "i paid"

Baada ya dk 0 bofya my wallet utaona bitcoins zako zimeingia

JINSI YA KUDEPOSIT 1XBET

1, Kwenye 1xbet bofya deposit au top up
Kisha chagua bitcoins

2, Baada ya kubofya bitcoins itafunguka ka page kana address ndefu hivi,
copy hiyo address

Kisha rudi localbitcoins.com

Kwenye localbiticoins bofya "wallet"
Kisha utaona "send bitcoins"

Ukiwa kwenye send bitcoins utaona sehemu imeandikwa
"Receiving bitcoins address" na
"Amount in bitcoins "

Kwenye "Receiving bitcoins" Paste address uliyo copy 1xbet
Kwenye "Amount in bitcoins" jaza kiasi cha bitcoins
Kwenye "more options" usijaze kitu
Kisha bofya "Continue"

Utatakiwa kuweka password yake

Baada ya hapo subiri kuanzia dakika 5 hadi nusu saa muamala utasoma kwenye acc yako ya 1xbet kulingana na currency uliochagua 1xbet

JINSI YA KUWITHDRAW
Unafanya kinyume cha kudeposit
Yaani unakwenda localbiticoins unakopi receiving address unakuja kui paste upande wa withdraw 1xbet
Mzigo unaingia wallet ya local bitcoins kisha this time unachagua buyer aka muuzaji
Unasend request anakutia mzigo kwenye mpesa/tigopesa yako

Makato yapo hasa wakati wa kuweka
Mfano ukiwa na elf10 itafika 1xbet elf7
Cc Mhakiki MESHACK WARIOBA Ba Jau
View attachment 1093144View attachment 1093145View attachment 1093146View attachment 1093147
Shukrani Kiongozi,huu ndio ushirikiano unaotakiwa lengo letu humu ni moja tu kupiga pesa.
Ila nimeona kiwango cha kuwithdraw ni kama 72 elfu.
 
Azerbaijan


Fk sabayil-2 vs zira fk 2


Tip: over 2.5

Azerbaijan


Pfk nefti baku 2 vs fk garadag lokbatan


Tip: 1FT and over 2.5

Azerbaijan


Garabagh-2 vs FC kapaz


Tip: over 2.5 and 1FT

Ukraine


Vorskla u19 vs karpaty lviv u19


Tip: over 2.5
 
Kuna mwanangu juzi kati alideposit elf 10 mybux
Kapiga hela kama laki4 hivi
Kuzitoa imekua mtihani mybux wamefunga huduma na hajui aanzie wapi
Adeposit kwa njia nyingine mfano bitcoins afu aendelee kubet kwa muda apo anaweza kuwithdraw kwa hiyo localbitcoin
 
Kama kuna MTU yuko Tanzania na anataka kufungua account ya 1xbet kwa kutumia SAFARICOM au Airtel akiwa huko huko Tanzania , njoo PM tuongee .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom