Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 696
- 928
Nimemuua Mnyama Taifa.
Huu mkeka kweli wakibabe mkuu! unaroho ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemuua Mnyama Taifa.
Mkuu msaada jinsi ya kuweka hela betpawa kutumia tigo pesa
adress mbn nimekopy fresh tyu.Acha masikhara mkuu, hapo ulipoandika 600 umekosea unatakiwa uandike kiasi cha bitcoin unachotaka kutuma ambacho ni 0.0000599 ambayo ni sawa na Tsh 496.
Alafu cheki na hiyo address km uliicopy kwa usahihi
ona leo adress nimepatia wamekuja na mengine.Acha masikhara mkuu, hapo ulipoandika 600 umekosea unatakiwa uandike kiasi cha bitcoin unachotaka kutuma ambacho ni 0.0000599 ambayo ni sawa na Tsh 496.
Alafu cheki na hiyo address km uliicopy kwa usahihi
Basi ongeza hela mkuu, inaoneka hiyo 0.0001 ndio minimum ya kutuma ambayo ni sawa na Tsh 850ona leo adress nimepatia wamekuja na mengine.
Mkuu,mbona mazembe kapewa mzigo wa odds,4,...akat alimtandika huyu jamaa goli nane8,..ni safe kwel direct winManchester united draw no bet 1
AS Roma draw no bet 1
2.46 odds
Umetumia njia gani?Nimefanikisha Kutoa pesa Kutoka 1xbet Mpaka Mpesa ndani ya Saa Moja tuView attachment 1020257
Sent using Jamii Forums mobile app
..Simba - 2x &2+
Esperance - (0-3)
Mazembe - 2x & 2+
Wydad - 1 & 3+
Holoya - 1 & 2+
Saoura - 1 & 0-3
Asec - 1x & 0-3
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetoa sadaka ๐๐๐Nimemuua Mnyama Taifa.
Hii game ya mazembe mwenyew inanishawish kucheza direct win leoMkuu,mbona mazembe kapewa mzigo wa odds,4,...akat alimtandika huyu jamaa goli nane8,..ni safe kwel direct win
Sent using Jamii Forums mobile app