mku mbn nikiweka hapo kwenye bitcoins amount niki clickcontinue inaleta invalid adress bitcoin while adress nimecopy vzr kbsa?au adress nayo ingizo sio kwa mfumo huo?
Hapo ni option gani mkuu nieleweshe
DuuNina MkekA Wa timu 15 Maribor kauchana kwa kweli nimeumia sana maana Nina hali mbaya kiuchumi
Sent using Jamii Forums mobile app