Jay Gatsby
JF-Expert Member
- Jul 28, 2017
- 696
- 928
Gal Sport Je wako vp?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao parimach sio kampuni pitieni jukwaa la michezo wamemzulumu jamaa milioni takribani sita hivyo kuweni nao makini sana
Hao parimach sio kampuni pitieni jukwaa la michezo wamemzulumu jamaa milioni takribani sita hivyo kuweni nao makini sana
Kama mimi tu juzi imagine psg akakosa 2 goals akiwa homeDaaah, aiseee ! ... i sympathise with you. Pole sana kamanda. Yani Young boys goli moja tu alishindwa ?!!!!! daaamn
Ndio yenyewe mkuu! Una habari mpya yeyote kuhusu huo ushindi?Hii milion sita iliyoliwa juz kwa elfu 50 au ipi
Mechi ni ngumu ila unaweza kumpa mnyama ushindi au sareWakuu mnyama vipi kesho atamkazia mwarabu au naona odds nono kote kote
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ila al ahly ana point saba vita akishinda kesho atamfikia wanaweza wakakomaa wapate point tatu ili wawe safe au wakatafuta sare tu
Vita yuko ugenini lazima atapoteza point tuSawa mkuu ila al ahly ana point saba vita akishinda kesho atamfikia wanaweza wakakomaa wapate point tatu ili wawe safe au wakatafuta sare tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa lakini kesho ni siku ya kupiga pesa vizuuurVita yuko ugenini lazima atapoteza point tu
Simba ana nafasi ya kushinda mchezo wa kesho tena kubwa tu
Sent using Jamii Forums mobile app