GG/BTTS
Screenshot_20190110-225830.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sawa Mkuu, sio tu kubet kila siku kuna mtu anataka kubet kila mechi. Sasa Kwa style hiyo lazima vilio vitawale unatakiwa Kujua ni lini, wapi na muda gani nibet kutokana na strategy yako sio all the time. Ndio maana hata wale wa forex wana siku za kutrade sio kila siku na sio all the time.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ase mkuu niliwahi fata hii strategy yako kipindi cha 1xbet nikaanza na mtaji wa 10k nikaukuza wee hadi 70k....kilichotokea...wenge la kutaka kila mechi,nilichezea za uso kinomaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waliochoshwa kupigwa na kanjibai kuna chimbo kali sana la tips 100% channel telegram heb na nyie mchek wenyewe
Follow
Screenshot_2019-01-10-23-58-30.jpeg
Screenshot_2019-01-10-23-58-56.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom