Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,703
- 5,635
Aiseee acha Mkuu hawa Australia wamenifurahisha Leo yaaani namaliza kutega ndoano magoli yanaingia mfululizo hata dakika tano hazijaisha goma limetick.Void, wewe ni noma!! Hongera mkuu..
Aiseee acha Mkuu hawa Australia wamenifurahisha Leo yaaani namaliza kutega ndoano magoli yanaingia mfululizo hata dakika tano hazijaisha goma limetick.Void, wewe ni noma!! Hongera mkuu..
Bora umewaotea aisee.. Wale akina Melbourne Victory wameondoka na twenty yangu.. Niliwatega kwa over 2.5Aiseee acha Mkuu hawa Australia wamenifurahisha Leo yaaani namaliza kutega ndoano magoli yanaingia mfululizo hata dakika tano hazijaisha goma limetick.
SUBGUSUNGUUUSOMAAAHIOOOOOOOOAiseee... Weekend inanukia.View attachment 1023255
Kama mtu atakuwa ameshaisajili kenya kwani ikija huku itaitaji udawnload vnp tena mkuu
Pole Mkuu, Australia sometimes wanakuwa na matokeo ya kipuuzi.Bora umewaotea aisee.. Wale akina Melbourne Victory wameondoka na twenty yangu.. Niliwatega kwa over 2.5
Hahaaaaa anajifanya haoni...aje asome mshahara wa mtu huo. Hatari Mkuu.SUBGUSUNGUUUSOMAAAHIOOOOOOOO
WamzaziwakekambooooHahaaaaa anajifanya haoni...aje asome mshahara wa mtu huo. Hatari Mkuu.
Yale yote uliyoelezea pale,Nimefarijika kupata quote ya mmoja wa wat mashuhur wa kubet(tipster) ninaowafahamu humu ndani maybe unaweza kunishaur wapi nakosea bro Deepond
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishasema humu,Hili likampuni lifutwe tuuu lisirud tena huku bongo..kampuni gani hili bhana.....Walifungie kabsaView attachment 1022869View attachment 1022870
Acha ushabk mkuu, mwenzio kakueleza factAseh hapana...Yan wewe inaonekana unawatetea wakat details za timu zinaonekana kabsa na zimeandikwa hapo