Wakuu hv mnajua hum kunawatu wanastake 100, 200 au hat makampuni yanauwezo wa kuweka kiwango cha 50 wangestake lakin kelele nyiiiiing
 
Nilikuwa nasoma comments play store nimechoka daaaah
Screenshot_20181213-073431.jpeg
 
Mtu kati hao sometimes ndio changamoto zao, me huwa nanunua vitu ebay kupitia paypal sasa ikitokea nimepokea wrong/damaged item huwa naomba refund wale wauzaji huwa wanarefund kwel ila sasa kutoka kwa middleman paypal kuja kwenye akaunt yangu sometimes wanazingua sema unakuta vihela vyenyewe mbuzi huwa na bullshit tu.
Tulikuwa tunalalamika m lipa hawa skrill inaonyesha wanatisha kuna watu account zao zimefungwa na walishawasilisha documents zao mpka wengine siku 90 Bado wajatatuliwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom