SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,407
- 23,688
1/3jana mmechana mingapi? SteveMollel
1/3jana mmechana mingapi? SteveMollel
Fukuzia madogo wa UEFAJamani mwenye mkeka wa kueleweka leo nataka eka pesa nzitooo
first harf walikuwa wanakatakata viuno2
Tehtehteh baridi naona iliwazidiafirst harf walikuwa wanakatakata viuno2
teh teh! Ngoja tuwangoje hawa madrid u 19 nadhani kutakuwa na migori ya kutoshaTehtehteh baridi naona iliwazidia
Usisahau kuna wengine hapo wanataka waambulie hata EUROPA mfano Hoffenheim,CSKA MOSCOW na PLZENSorry ni kwawale wababe kama Roma,man city ,juveReal madrid na bayern duh! Sasa hapa napo ukiifata ya shakhtar donest hyo ningum na hao walio fuzu raund ya 16 wanaweza uza gem leo.
Hiyo under ingeenda kwa Lyon, muhindi anacheka tu sasa hiviLeo nilijitosa
Roma u19 ..under 2.5
Lyon u19 ....over 2.5
sitaki kuangalia matokeo yakeka wangu sijui ndo majonzi au nimetusua
aaah mamamee..tangu wiki iliyopita aisee nimepoteza kama m 1 na ponti ...yani hata za under 0.5 zinaniangusha Mimi sipaswi kuwa sayari hiiHiyo under ingeenda kwa Lyon, muhindi anacheka tu sasa hivi
we jamaa haujawahi kuwa siriasi kwny mambo yako.Leo nilijitosa
Roma u19 ..under 2.5
Lyon u19 ....over 2.5
sitaki kuangalia matokeo yakeka wangu sijui ndo majonzi au nimetusua
Hii (n) inamaanisha nini?Jaman Chelsea kaandikwa na Chelsea (n)