Wooooon, niliogopa kuutupia maana kunawatu wanakatishana tamaa sorry lakn mara et Psg anapgwa mara liverpool anapgwa.View attachment 965372
Livepool, MU, R.madrid kwangu mimi binafsi hata washinde 100-0 siwataki.
.
Hawa nina nuksi nao nikiweka over 0.5 hayatoi nikiweka under 5.5 hayatoi mkuu we komaa nao tu mimi wamenishinda tabia.
 
Sorry ni kwawale wababe kama Roma,man city ,juveReal madrid na bayern duh! Sasa hapa napo ukiifata ya shakhtar donest hyo ningum na hao walio fuzu raund ya 16 wanaweza uza gem leo.
Game za leo ni rahisi magoli yatakuwa machache sana ila man city atawatia watu aibu ya mwaka.
 
Aisee
Screenshot_20181212-141639~2.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom