1538068360450.png
 
Aisee, mi nilikuwa nahesabu point au wanapataje hiyo 1:2 maana sielewi
Hapo inaangaliwa kila set walizocheza. Mfano set ya kwanza wametoka 6:7 hapo ina maan hiyo set ameshinda huyo alopata point 7 hivyo kwenye score board huyo aloshinda anahesabiwa kashinda goli moja. Hivyo hivyo kwa set zinanzofuata mpaka mshindi anapatikana.
 
Shukrani sana mkuu,
Nimekuelewa vema!
 
In play
Valladolid vs Levante

Either team to win corners from 80:00min to fulltime

Odds: 1.59
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom