Kenikia za pesa tamu Odds 80+
1537447263727.png


odds 23+
1537447324922.png
 
Ivi wazee kuna aliefanikiwa kudeposit kwa mastercard???maana mm pesa yangu ipo kwenye mastercad kuanzia jpili mpaka leo...kuideposit imekataa kiirudisha mpesa imekataa
Nawe mhanga kama mimi pesa yangu wamezingua mara 100 benki lakini mpesa master card ovyo!
Eti siku tatu waone tatizo nini,nimejaa sumu kinoma
 
Mchawi wa leo nan wazee kati ya asernaln na chelsea maana naona daily kuna mchawi
Leo hawa hawawezi kutuangusha... Arsenal yuko home anacheza na timu dhaifu ulaya. Chelsea ana kikosi kipana sana ingawaje kocha amepumzisha mastar wake kadhaa kwa ajili ya EPL ila bado Chelsea ana nafasi kubwa sana ya kushinda ugenini.
 
Wazee wenzangu wa inplay kuweni makini na 1bet kuna mechi zinaishia dk ya 70 badala ya 90....leo nimecheza game ya kwanza dk ya 56 na nikaweka over ila baada kama dk 20 nakuja cheki nimelose na dk zilikuwa azijaisha....nimekuja nimecheza nyingine nikawwka over na ilikuwa dk ya 66 ila nakuja chek baada ya dk kama kumi nakuta tayar game ilishaisha na nimeloose
Mkuu sheria znatofautiana kati ya match za under 17,20 or under 19,na match za watu wazima..especialy kwenye muda,wengne ni dk35 kipind cha kwanza,wengne ni 40,za watu wazima ndo 45,..pia za wanawake ,kua makin,nying sio dk 90 especialy hiz za under 20,16,19 etc
 
Mkeka wa maajabu
MULTI BET (8)

TOTAL ODDS:
3,210.64
Unaweza cheza Option ya (12) 3 way - Home win or Away
Then nyingine ukateleza ila naona Racing Genk anaweza pigwa second half
1537451653128.png
 

Similar Discussions

227 Reactions
Reply
Back
Top Bottom