kenikia odds 100+ usipitwe na pesa...
upload_2018-7-11_17-18-2.png
 
mkuu pesa ngumu sasa kama watu wanalalamika wakiwithdraw pesa inazngua kufika lazima upate wasi
Ni kweli.
Ila huwa yanatokea kwenye makampuni yote. Mi nakumbuka Mbet nilishawahi kukaa wiki nzima. Inawezekana ni mtandao tu sa nyingine hauko poa
 
Ni kweli.
Ila huwa yanatokea kwenye makampuni yote. Mi nakumbuka Mbet nilishawahi kukaa wiki nzima. Inawezekana ni mtandao tu sa nyingine hauko poa
itakua hvyo aisee. mwenyew haya mambo nmeanza kitambo sana bt cjawahi kutoa pesa ikasumbua hata mara moja ila cku hizi naona malalamiko ya watu ynakua mengi dah nkaanza pata wasiwasi
 
itakua hvyo aisee. mwenyew haya mambo nmeanza kitambo sana bt cjawahi kutoa pesa ikasumbua hata mara moja ila cku hizi naona malalamiko ya watu ynakua mengi dah nkaanza pata wasiwasi
Sidhani kama kuna kampuni ambayo ipo kwa lengo la kutapeli vijisenti vyetu
 
Sidhani kama kuna kampuni ambayo ipo kwa lengo la kutapeli vijisenti vyetu
kweli aisee hawawez kurisk biashara inayowaingizia mamilion ya dollar kwa kumdhurumu mtu laki tatu, ngoja niendelee na in play basket hapa natiririka tu leo nmeamka vizuri kanji anapata tabu sana aisee
 
NK Olimpija Ljubljana- Qarabag FK
Full Time - 2 @ 2.50

Ludogorets 1945 Razgrad - Crusaders FC
Over - 4.5 @ 2.47

FC Vaduz - Levski Sofia
Over - 3.5 @ 4.03

Suduva Marijampole - Apoel Nicosia
GG - Yes @ 2.07

Total: 42+
Stake: 2500/=
Return: 105,000/=

Similar Discussions

Back
Top Bottom