Nimejifunza Kitu Kwenye Betting, Usiwe mwoga hata kidogo

Amua moja kufa au kupona.... Kula au Uliwe full Stop.

Kitu cha Msingi ni Kuhakikisha Unafanya Analysis na kujua umpe nani kwa sababu gani, hicho ndo cha Msingi zaidi.....

Kingine.. "Keep Limits"... HAKIKISHA unajiwekea Mipaka kwa Siku. Ili limit yako itakapofika uweze Kustop.

Tusiogope hasara wakuu kama ni hasara tumeshazipata nyingi tu na tutaendelea kuzipata tu. Pale ambapo Instincts zako zinakutuma Jilipue ndugu yangu ili ukipita unatoka na kitu kikubwa

That's All kwa Leo wakuu..... All the best.
 
Umakini muhimu sana mkuu kama unatafuta Nyoka gizani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom