6d0e8eb8c3b7d999f1e1e41d83d4aa0c.jpg

Match to avoid
 
Dooh pole sn ... kulikoni tena mkuu?
Kuna mjinga mmoja kutoka Tra,

Alkuja akatia kufuli afisini kwangu.

Nkaona ujinga huu,
unanifungiaje ofisi asbuhi asbuhi hata kuifungua sijaifungua.

Wala hats maelezo hajatoa

Nkabeba nyundo na nondo kalivunja kufuli lao.

Nkafungua ofisi yangu.

Mda so mrefu,
Sasa jamaa ndo wakaita polisi.

Wakanibeba mpk centro.
Nlkua huko tokea mchana,
Ndo nmetoka mida hii.
 
Daah pole sn kamanda ... hao jamaa wanaboa kinomaa !
 
Daah pole sn kamanda ... hao jamaa wanaboa kinomaa !
Wanaboa si kidg

Mtu mnamfungia ofisi bila hata kuchukua maelezo yoyote kwake

Kibaya zaidi wamekuja kutia kufulia SAA 12:30 alfajiri hata duka halijafunguliwa.

Upuuzi sana huu.
 
Kuna mjinga mmoja kutoka Tra,

Alkuja akatia kufuli afisini kwangu.

Nkaona ujinga huu,
unanifungiaje ofisi asbuhi asbuhi hata kuifungua sijaifungua.

Wala hats maelezo hajatoa

Nkabeba nyundo na nondo kalivunja kufuli lao.

Nkafungua ofisi yangu.

Mda so mrefu,
Sasa jamaa ndo wakaita polisi.

Wakanibeba mpk centro.
Nlkua huko tokea mchana,
Ndo nmetoka mida hii.
Pole sana mkuu
 
Duuuh poleee sana mkuu
 
Pole sana mkuu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom