Haya wadau wa Basketball (NBA in particular) ... fanya uchambuzi wako kisha linganisha na hawa jamaa tupia. Mimi nawachukua wafuatao wazima wazima bila kujali ...

- Washington Wizards (odds 2.05)
- Miami Heats (odds 2.43) na
- Golden State Warriors (odds 1.23)


View attachment 678427

Game ya GSW hawa PrincessBet hawaiweki pumbavu zao. Wanaona tunamkalisha sana nini?
 
Odds za kibabe ... Tennis (Australian Open - Men) & NBA.


upload_2018-1-18_1-54-42.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom