Pole mkuu, sikupata notification mkuu, ningeweza kuadd up chochote, Minnesota usije ukawaua tena hata wakicheza na GSW, labda kwenye playoffs tu.

Wana wachezaji ambao ni All Stars Calibre 3, so waache kabisa.

By the way kuna game inaendelea, Lakers walikuwa wamezidiwa zaidi ya 20 points, they are back.
Sikujua mimi kitendo cha kuona OKC wana Russel na Carmelo basi nikajua wanashinda kiulaini laiti ningepata maoni yako usiku 20k yangu isingeondoka.
 
AD Grecia - Universidad de Costa Rica
Over 1.5 goals
1.26 LOST

Guadelupe FC - Municipal Liberia
Over 1.5 goals
1.26 WON

CD Cobreloa Calama - Dep. Magallanes
Over 1.5 goals
1.21 WON

Chongqing Lifan - FC Shanghai Shenhua
Over 1.5 goals
1.17 WON

Lyngby BK - Odense BK
Over 1.5 goals
1.28 WON

FC Roskilde - FC Fredericia
Over 1.5 goals
1.19 WON

Juticalpa FC - CD Platense
Over 1.5 goals
1.17 WON

Stake:100,000
Odds: 4.01

Possible Return:
401,000.00 95% Winning
LOST
 
AD Grecia - Universidad de Costa Rica
Over 1.5 goals
1.26 LOST

Guadelupe FC - Municipal Liberia
Over 1.5 goals
1.26 WON

CD Cobreloa Calama - Dep. Magallanes
Over 1.5 goals
1.21 WON

Chongqing Lifan - FC Shanghai Shenhua
Over 1.5 goals
1.17 WON

Lyngby BK - Odense BK
Over 1.5 goals
1.28 WON

FC Roskilde - FC Fredericia
Over 1.5 goals
1.19 WON

Juticalpa FC - CD Platense
Over 1.5 goals
1.17 WON

Stake:100,000
Odds: 4.01

Possible Return:
401,000.00 95% Winning
Pole sana Mkuu na hii hali ya Mjomba Magu 100,000/= ni pesa nyingi
 
Sikujua mimi kitendo cha kuona OKC wana Russel na Carmelo bali nikajua wanashinda kiulaini laiti ningepata maoni yako usiku 20k yangu isingeondoka.

OKC wana 3 All Stars; Russel, Paul George, Carmelo (hawa wawili ni wageni kwenye timu).

Paul na Anthony wote ni Small Forwards (wanacheza namba moja); kwa hiyo mpaka wazoeane kujua ni nani akae wapi na nani akae wapi.

Bila kusahau wote watatu ni volume shooters, na ni ball hogs, kwa hiyo itachukua muda sana wao kuelewana na kuwa na uhakika wa ushindi. Na hapa ubora wa hii timu kwa sehemu kubwa utategemea na jinsi ambavyo Russel as a Point Guard ataamua kuwachezesha wenzake badala ya kutafuta individual accolades.
 
U21 -MORAVIA GROUP

FC Vysocina Jihlava - FC Banik Ostrava
yes and Over 2.5 goals
1.57

Time 14:00 HRS
 
e9b45a439ec1b176354a00bfc2220eeb.jpg

30% kushinda huu mkeka ila nasubili wafungue meridian nikautoe
 
OKC wana 3 All Stars; Russel, Paul George, Carmelo (hawa wawili ni wageni kwenye timu).

Paul na Anthony wote ni Small Forwards (wanacheza namba moja); kwa hiyo mpaka wazoeane kujua ni nani akae wapi na nani akae wapi.

Bila kusahau wote watatu ni volume shooters, na ni ball hogs, kwa hiyo itachukua muda sana wao kuelewana na kuwa na uhakika wa ushindi. Na hapa ubora wa hii timu kwa sehemu kubwa utategemea na jinsi ambavyo Russel as a Point Guard ataamua kuwachezesha wenzake badala ya kutafuta individual accolades.
Leo ni bora nichukue over tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom