Hii dunia kanju amefanya naona kama niko jehanam daa inauma asee mtaji umeisha sijui hatakesho nitaamkaje, daa dume zima namwaga chozi ila ipo siku yake tu
a147c4914d5758b322096c6985941b23.jpg
 
Wengine wakilia wengine wanacheka. Kanji sio wa mchezo mchezo, game ya psg niliiogopa nikaweka 1.5 over. Namsubiria sporting amalize dakk tuu coz anaongoza 5
 
Woooooon, asante kwa wachambuzi. Bila nyie nisingepata ya suuupu
 

Attachments

  • IMG_20171023_001615.jpg
    IMG_20171023_001615.jpg
    40.2 KB · Views: 35
Wewe unayesema tusilete unaongea kama nani ktk hili jukwaa!.nadhani ni mgeni humu na kwanini unaumia roho wakati anayeliwa ni Kanji?wa kwako ulioleta uko wapi?Je ni mara ngapi tunaleta hapa na mnashindwa ku copy?
Utafikiri mwenyewe ni Melo ahahahah ama utafikiri kakununulia bando eti usiwe unaleta kutuumiza moyo ahahahahah watz watu wa ajabu.
 
Kwa wataalam wote wa kuhack nawahitaji mje hapa, nahitaji tushirikiane kuhack supertipsman special vip.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom