Jamani nataka nitembee na Over 209.5 game ya Oklahoma then Toronto 204.5. Maoni kabla sijaanza kuimba tenda muujiza.
 
ODDS:2.44
b97793820ff37eaa5369bd51b20a91a9.jpg
BET WON!!
 
Nimejiunga na BET 365nipo nje ya nchi siwezi kutumia meridian/premier tena. Kwa wenye uzoefu vipi usalama wa pesa za kwenye account yangu maana naona wanataka niweke no za kadi ya benki ili kudepost mm ninayo Mastercard.
Iko safe sana mkuu m pia niko uko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom